Cctv camera cable

Cctv camera cable

prida

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2026
Posts
502
Reaction score
973
Habari wakuu.

Eti wakuu HDMI cable ajili ya cctv camera kuna zinazouzwa kwa mita?

Kama ndio,mita moja ni bei gani hapo kariakoo.

Kuna fundi kaniambia haukatwi unakuja na vichwa vyake na mwingine anasema unaweza katiwa mita unazotaka then unanunua vichwa

Im confused please help hasa bei kwa mita.

Thanks🙏🙏
 
Zipo kuanzia mita 1 hadi 30-50 inategemea unataka HDMI mita ngapi ila kumbuka hawakati kama waya wa umeme!
 
Kichwa kimoja elfu 2000..waya hawakati,..wanaweza kukupa waya tu vichwa ukaenda kuunga mwenyewe,tho mbona waya na vichwa sio gharama kubwa?
 
Mku umejisikiliza au ukuelewa alichokiandika mleta mada?HDMI wanakupa waya na vichwa?
 
Nenda Lucky Digital, Posta watakuuzia kwa urefu uutakao zikiwa tayari na vichwa vyake, bei kitonga tu. Namba zao ni 0763 042 553 (simu au whatsapp), wapo pia instagram
 
Mku umejisikiliza au ukuelewa alichokiandika mleta mada?HDMI wanakupa waya na vichwa?
Nimesoma tena labda wenge la usingizi,ila labda sijamuelewa OR DVR yangu ya kizamani,.

HDMI inaingia kwenye DVR na TV or Monitor..

Waya wa camera na Pins zake zinaingia kwenye DVR na Camera..

Ambapo sijaelewa HDMI za CCTV ni zipi??maana HDMI na waya wa Camera ni vitu viwlili tofauti ila yeye kaandika kama kitu kimoja,kama sijaelewa naomba unielekeze or nimepitwa na Tech
 
Nimesoma tena labda wenge la usingizi,ila labda sijamuelewa OR DVR yangu ya kizamani,.

HDMI inaingia kwenye DVR na TV or Monitor..

Waya wa camera na Pins zake zinaingia kwenye DVR na Camera..

Ambapo sijaelewa HDMI za CCTV ni zipi??maana HDMI na waya wa Camera ni vitu viwlili tofauti ila yeye kaandika kama kitu kimoja,kama sijaelewa naomba unielekeze or nimepitwa na Techhapo ndo ulitakiwa kuuliza kabla ya jibu tata
Hapa ndo ulitakiwa kuuliza kabla ya kujibu jibu tata,HDMI huwezi kunga vichwa maana ina waya almost 20
 
Attachments

  • Screenshot 2026-07-21 at 07.16.43.png
    Screenshot 2026-07-21 at 07.16.43.png
    1.3 MB · Views: 2
Pima urefu unaotakiwa kanunue waya ulio na vichwa tayari kwa urefu unao hitaji.
Mambo ya kuunga unga HDMI cable kienyeji mtaani utasumbuka Sana na marekebisho (maintenance) kila wakati.
 
Zipo kuanzia mita 1 hadi 30-50 inategemea unataka HDMI mita ngapi ila kumbuka hawakati kama waya wa umeme!
DUh.
Huyu fundi kaniletea umekatwa kama wa umeme.
Ngojea nione itakuaje
 
Kichwa kimoja elfu 2000..waya hawakati,..wanaweza kukupa waya tu vichwa ukaenda kuunga mwenyewe,tho mbona waya na vichwa sio gharama kubwa?
W

Huo wa kuunga vichwa si ndo wa kukata mkuu?
 
Pima urefu unaotakiwa kanunue waya ulio na vichwa tayari kwa urefu unao hitaji.
Mambo ya kuunga unga HDMI cable kienyeji mtaani utasumbuka Sana na marekebisho (maintenance) kila wakati.
Huyu fundi keshaleta huo wa kuunga.
Anasema nisihofu sijui kichwa kikiwa na carbon sijui ndo inakua nini.Sielew mambo haya ila ngojea akifunga nione matokeo
 
Back
Top Bottom