Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

  • Poll Poll
Habari wana JF Tafadhali naomba msaada wa kupata list ya ISP wa Tanzania, nahitaji ili niweze kuissue Bid request lakini pia kujua who is there na what capacity nayo
0 Reactions
83 Replies
21K Views
Msaada wakuu simu tajwa hapo juu nashindwa ku install social network kama WhatsApp, YouTube Kama mnavyo jua simu za China mitandao ya kijamii baadhi ilipigwa burn so naomba mwenye uelewa niweze...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Wakubwa nimependelea kuanzisha uzi huu maalum utakao toa bei za vio vya simu pamoja na Protector. Itasaidia kujua gharama halisi ya vioo hivi kwa kupata miongozo kutoka kwa wataalam wetu tulio...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Wajomba nimepatwa na na kunipata sijui naanzia wapi ila ki ufupi kuna jamaa kaniotea huku kwenye computer yangu, ana encrypt files anazibadilisha to .MOIA extension. Mfano nyimbo au video ya MP4...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salam wakuu, nimecheza fps nyingi sana kwenye simu Ila my favourite sequel ilikua ni MC3,MC4 na MC5. Baada ya hapo games nyingine nlicheza kama agent 47, sniper etc. Lakini hazikukidhi roho yangu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari waugwana wa humu, je salama!? Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
leo baada ya kupekua vitabu vyangu na kutana na software ambayo nilikuwa mmoja wa watu waliotumia miaka hiyo. kazaa ilianza kutumika miaka ya 2001 baada ya ugunduzi mkubwa wa mfumo wa P2P. hii...
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Msaada kidogo natumia GB whatsapp leo hii imegoma naambiwa niupdate wakati nimeiupdate na mwisho inadai ni 6 Dec 2021
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Habari zenu waungwana Poleni na majukumu ya kila siku katika kujenga taifa na kujenga familia kwa ujumla. Naomba niende kwenye topic. Kutokana na maendeleo makubwa yaliyofanyika kwenye science...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna njia nyingi sana za kudownload mafile mbalimbali kwenye internet. leo nitatoa baadhi ya tips zangu ninazotumia kudownload na kama wewe una njia ya kudownload ambayo ni unique pia utaisema...
10 Reactions
18 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu? Najua Technology imekua sana na kila...
2 Reactions
41 Replies
16K Views
Wakuu kwema humu?? Za Masiku?? Nina simu yangu ya Tecno N2 nilisahau password na kwa msaada wa watu wa hili Jukwaa plus Google/Youtube nikaweza kui-restart lakini sasa ndio inanihitaji Gmail...
1 Reactions
30 Replies
12K Views
Hii simu samsung galaxy s7 edge alieinunua baada ya kuereset i.egoma kwenda mbele inaishia hapa. Msaada namna ya kuiunlock
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa wale mnaotumia Simu za android kianzia 5.0 (lollipop ) na kuendelea mpaka 7.0 kumekuwa na tatizo pale unaposahau patten na ukafanya hard reset utakapowasha simu yako itakitaka uweke email...
3 Reactions
4 Replies
7K Views
Baada ya toleo la android lollipop na kuendelea kumewekwa security patch kwenye simu za android. Hii inafanya kazi pale utakapofanya hard reset kwenye simu iliyo na account ya google. Simu...
9 Reactions
20 Replies
11K Views
Habarini wakuu... Aisee nina shida na RAM aina ya ddr2 yenye at least ukubwa kuanzia 4GB kwa bar/stick 1 mpaka 8GB (2×4gb) Nina mashine hapa nahitaji ku upgrade RAM, nina software moja ya kazi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wataalam Naomba kisaidiwa jinsi ya kufanya identify cormfmation ya Facebook Nimejaribu naona sifanikiwi Ahsante
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samahani wadau nilikua naandaa matokeo ya wanafunzi wetu hapa shuleni sasa kwa kutumia excel nimeshndwa fomular za kuweka last top 10. Hivyo kwa anayefahamu anisaidie tafadhali
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Katika maisha yetu ya leo, kwa namna moja au nyingine tunatumia Artificial Intelligence- intellijensia ya kutengenezwa(Sijapata Kiswahili Fasaha, wana jamvi waweza saidia) kupitia vifaa vya...
7 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari ndugu Jana kwa mara ya kwanza nimepost ads kwa kutumia computer, tangazo linahusu Saluni yangu na huduma zinazopatikana Nikaweka objective ya message Nikaset audience fresh Nikaweka...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom