infinix smart 5 (x697)

Madame S kwanini ununue infinix si afadhali ununue Nokia Torch!
ndugu yangu nimetoka kubadilisha hiyo hiyo nokia japo s ya toch mana sim mpaka imenizoea sasa nataka kuletewa hio ndio nikisoma mijadala mitandaon naona navurugwa mara ina sapot mara haisapot
 
Tumia WiFi zipo za 4G. Mimi natumia WiFi ambayo natumia kwenye smartphones 2 na pia kwenye laptop pindi niliwa kwenye laptop.

Faida yake ni kwamba simu inakaa na chaji muda mrefu tofauti na ukiwa unatumia data ya kwenye simu.
 
sio mtaalam sanakwenye mambo haya nifafanulie kwa undani kihus hio wifi s zinauzwa?? bei gan
 
Ni MiFi. Ye yenyewe ndiyo naichaji inakaa na chaji kama masaa 6 ama zaidi ya Airtel na pia nina ya Smile nadhami masaa 4 ama zaidi
 
habari wanajukwaa
naomba kuuliza simu tajwa hapo juu ina support 4g??
Hapa umetaja simu mbili
-infinix smart 5
- infinix X697 aka infinix note 11

Zote mbili zina 4G.
Sema smart 5 kama imenunuliwa india itashika tu 4G voda, TTCL na Airtel, Halotel haitashika 4G na Tigo mpaka uwe katikati ya jiji.

Hio x697 ni simu nzuri zaidi.
 
Niliharibikiwa simu nikakinunua kwa matumizi ya muda, nilikuwa na voda na airtel hakikuwahi shika 4g hata kwenye network settings option haina 4G. Pili android Go kikawa slow slow, kinachelewa sync emails, unakuta email imeingia dakika 10 iliyopita ndo inakuja leta notification. Naongelea smart 5
 
Zinakuwa na variants mkuu, sijui lite na nyenginezo, ila smart 5 plain ina Helio A22 ambayo inayo 4g.
 
Sidhani kama ilikuwa lte, nimecheck gsm arena ni plain. Lite camera zake zimepangana kwenye mstari mmoja tofauti na ile. Aisee, nilipata tabu nayo sema sikuwa na jinsi kwa muda huo
 
Hapa umetaja simu mbili
-infinix smart 5
- infinix X697 aka infinix note 11

Zote mbili zina 4G.
Sema smart 5 kama imenunuliwa india itashika tu 4G voda, TTCL na Airtel, Halotel haitashika 4G na Tigo mpaka uwe katikati ya jiji.

Hio x697 ni simu nzuri zaidi.
Screenshot_20211215-181532.png

hio mkuu
 
Back
Top Bottom