Umri wa Miaka 10. Wangapi bado tuna hivi vidude?

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,883
Reaction score
5,270
Zishapita Smartphone zaidi ya Kumi, lakini haka kajamaa bado kanaishi. Wangapi bado tuna hivi hizi mashine?
IMG_20211217_083059_831.jpg
 
Vinarudi ila bei itakuwa laki nakuendelea
hata zamani bei ilikuwa hiyo na zaidi
nakumbuka B mkubwa alinunua NOKIA1100 mpya dukani full boxed mwaka 2004 kwa 130000/=
nadhani unaweza kisia thamani ya 130000/= kwa kipindi cha miaka ya 2004 ilivyo juu kwa kununua simu inamaana kama ingekuwa leo ingefika bei mpk laki 3 na ushee

sasa kwa hiyo bei ya laki ni ndogo sana labda kama watafungamana na mchina
mana nokia za zamani zilikuwa made in HUNGARY or FINLAND sasa umkute mnyama alotoka FINLAND kwenyewe hatari na nusu
 
nadhani unaweza kisia thamani ya 130000/= kwa kipindi cha miaka ya 2004 ilivyo juu kwa kununua simu inamaana kama ingekuwa leo ingefika bei mpk laki 3

Sorry ni laki2+
 
130k ya 2004 saa hizi inawezakuwa laki 8 na ushee.

tukisema uchumi umekuwa ndio tunaangalai mambo kama haya,zamani ilikuwa kumkuta mtu na simu,ni kipengere waalimu walijichanga sana kupata simu.

ila mwalimu wa sas akizuia mishahara anunue simu basi ni ya mioni kadhaa.
 
kweli mzee mana alinunuliwa na SHIRIKA alokuwa akifanyia kazi lilikuwa la WAZUNGU
Mana angesema atoe kwenye mshahara wake thubutuuuu tungelala njaa mwezi mzima
 
hata zamani bei ilikuwa hiyo na zaidi
nakumbuka B mkubwa alinunua NOKIA1100 mpya dukani full boxed mwaka 2004 kwa 130000/=
nadhani unaweza kisia thamani ya 130000/= kwa kipindi cha miaka ya 2004 ilivyo juu kwa kununua simu inamaana kama ingekuwa leo ingefika bei mpk laki 3 na ushee

sasa kwa hiyo bei ya laki ni ndogo sana labda kama watafungamana na mchina
mana nokia za zamani zilikuwa made in HUNGARY or FINLAND sasa umkute mnyama alotoka FINLAND kwenyewe hatari na nusu
Sababu 1100 ndio kitochi ya mwanzo ila vitochi vilivyofuatia vilikuwa 30,000 mpaka 50,000 kama Nokia 105,
 
Back
Top Bottom