NGUVU NDOGO NI IPI
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 909
- 1,046
Habari za mahangaiko wandugu
Moja kwa moja kwenye mada nikwamba nilidownload app ya Bible and dictionary to playstore lakini nashangaa haionekani nikifungua menyu, ila kama nataka kumlushia mtu mfano kupitia xender inaonekana. Hata nikifungua file manager upande wa app inaonekana tatizo tu upande wa menyu haionekan