James Kasonda
Member
- Apr 2, 2012
- 84
- 49
Ni wiki ya tatu sasa mafundi wa Tanesco wanahangaika na mita yangu ya three phase aina ya inhemeter lakini patupu. Mwenye solution tafadhali
Hii inayowasumbua haina hata miezi mitatu !!
hao ndio wenye solutionmafundi wa Tanesco
Na akitokea mwingine akatengeneza, WANA LUGHA YAO, utasikia "TEMPA HII"... wakimaanisha mita imechezewa ili kuiba umemehao ndio wenye solution
Sisi yetu bado tunahangaika nayo mpaka leo,
Inaandikaje wakuu tuambie ni inawezekana tukawa na suruhu ya matatizo yenu maana wote tunatumia umeme na hizo miter
Inaandika connect fail
Sijajua ni ipi lakini hata sisi huku ni week na ushee hatuna umeme mita imezingua na ni mpya haikumaliza hata miezi miwili toka ya kwanza ambayo ilidumu sana kubadilishwa.
Wee jamaa fala nini?Mnaiba umeme,mlikua mnataka kufanya bypass...cha ajabu hamuwezi report sababu wakija wataona hiyo tamper!
Acheni wizi
Wee jamaa fala nini?
Walipewa taarifa wakadai wanasubiri luku nyingine ziwasili na ilikwishabadilishwa.
Waweza nisaidia kwa hili mkuu.yang inaanzia na 37Mita namba yako ina anza na namba ipi kama ni 37 basi nina solutions