Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 128
- 196
Ni kampuni ipi inayouza gesi ya kiwango kizuri cha ubora kati ya Oryx, Mihani, Taifa, Manjis n.k?
KWA KWELI HAHAHAGas ni gas kilichomo ni kile kile, tofauti ni rangi za vifungashio, uzito na bei
Gas ni gas kilichomo ni kile kile, tofauti ni rangi za vifungashio, uzito na bei
Gesi tunazotumia zinatoka nchi gani?Gas ni gas kilichomo ni kile kile, tofauti ni rangi za vifungashio, uzito na bei
Gesi tunazotumia zinatoka nchi gani?
Sio kweliGas ni gas kilichomo ni kile kile, tofauti ni rangi za vifungashio, uzito na bei
jibu hilihapaGas ni gas kilichomo ni kile kile, tofauti ni rangi za vifungashio, uzito na bei