Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Je, application ipi ni nzuri kutenganisha kati ya wimbo na melod?
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu, Nimekuwa nikitafiti kujua simu gani ya Samsung naweza kuipata kwa bajeti ya sh 500,000/- nikaona kwa kiasi hicho naweza kupata Samsung Galaxy A22 au Samsung Galaxy S8+ ya mwaka 2017...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalamu wa Kompyuta au yeyote mwenye uelewa anaweza kunielewesha. Hivi,kwanini ukimtumia mtu picha kwenye simu au kompyuta yake ibakie tena kwako(Kwenye simu au Kompyuta yako)?Si hivyo tu,kama...
0 Reactions
6 Replies
941 Views
Moja ya sifa ninazosikia kuhusu bitcoin, ni kwamba ni uncentralized, hivyo huwezi kutrack mtumiaji. Lakini kwa sasa kuna matukio kadhaa ya NSA kutrack wamiliki wa bitcoin, pia wameshikilia...
2 Reactions
5 Replies
916 Views
Wakuu nilikuwa naomba msaada boksi gani nzuri kwa software za simu, Bajeti yangu ni Million moja.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
wakuu habari za muda huu, Niliagiza oppo kikuu online katik maelezo yao walidai nakuta google play service iko tayar installed lakn haikua hvy kwa mtu ambay anajua namna kutatua tatizo nahitaji...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
IT wa Ukoo na mtaa nimetolewa knock out baada ya kuletewa simu aina ya Infinix hot 10T yenye shida ya kushindwa kuzionesha simu zinazoingia ila baadae kuonekana kama missed call kwenye call log...
4 Reactions
21 Replies
14K Views
Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2 Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Simu gani inajaa chaji mapema zaidi duniani kuliko hii
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajukwaa habari zenu. Naomba kujua kama kuna njia au kampuni inayojishughulisha na huduma za kuagiza vitu online (mfano kama ilivyo Alibaba) toka Kenya kuja bongo. Naona Bongo baadhi ya simu...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Hi wakubwa. moja kwa moja kwenye mada, tumedisign mfumo (it solution) kwenye mnyororo mzima wa thamani kwenye kilimo (agricultural value chain) ambao utarahisisha mahusiano na mawasiliano kwa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia. Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Nina laptop yangu aina ya Dell touch screen tatizo lake nikwamba ikitingishika/kutingishwa laptop yote ina stop kufanya kazi mpaka uizime kwa button ianze upya.yaan nikwamba yenyewe haitaji...
1 Reactions
1 Replies
885 Views
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia. Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu...
2 Reactions
1 Replies
587 Views
Habari zenu Wadau Wa Tech Nimekaa Muda Mrefu Kutokana Na Changamoto Za Maisha Leo Nimeona Bora Nizungumze Na Kuwapa Tahadhari Wote Wanaomiliki Au Wanaopenda Kuja Kununua PC Laptop Aina Ya Lenovo...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Naombeni msaada jinsi ya ku arrange blogu kama sehemu ya teknolojia unaweka maswala ya teknolojia na sehemu ya breaking news una arrange breaking news tu
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakubwa TV yangu aina ya Lg ni flat screen ina ukubwa wa inch 43 Jana nikiwa napanga vitu ilianguka na kujigonga kwenye ncha ya meza upande wa kioo hivyo kupelekea kupasuka na kuvujia wino naomba...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom