General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Kampuni ya Apple kuzibana Apps zote zinazotumia internet kwenye kupiga simu kama WhatsApp, Telegram, facebook nk katika iOS yao mpya iOS 13 itakayozinduliwa Septemba mwaka huu
Huamuzi huu ni kulinda faragha kwa mtumiaji
Facebook na WhatsApp wamepewa muda wa hadi Aprili 2020 kubadilisha mfumo wao wa App zao kutumia internet kupiga simu.
Je nani ataathirika zaidi?
Je WhatsApp na Facebook wakidindia hawa Apple nani ataathirika?
Binafsi mimi huu uamuzi wa Apple ni wa hovyo na wakifanya hivi nawakimbia.

Facebook na WhatsApp kubanwa kwenye iphone
Apple kuzibania apps za Facebook, WhatsApp na apps nyingine mbalimbali kwenye iPhone katika uamuzi unaoonyesha kuziathiri apps nyingine nyingi.
www.mwananchi.co.tz