Freelancers! 9 00 9f

Freelancers! 9 00 9f

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
909
Reaction score
625
Wakuu habari ya majukumu,nimejaribu kutafuta mada ya kuhusu freelancing humu jukwaani sipati lakini kumbukumbu zangu zinaniambia hii mada iliwahi zungumziwa humu jukwaani.

Kwa sasa ishu na ajira imekua ngumu na hata mzunguko wa pesa umepungua duniani kote kutokana na athari za COVID-19. Hivyo basi tujitahidi kuonyeshana mbinu za kupata kipato kwa njia ya mtandao.Najua humu kuna watu wanaingiza pesa kwa kupitia mitandao kama ya Upwork,fivver kuorodhesha kwa uchache,lakini hawa watu hata ukiwafuata PM hawataki kuonyesha mbinu za kupata kazi kwa hiyo mitandao.

Mm ni mmoja wa wahanga wa hili jambo.Kuna baadhi ya watu nimewa PM nikiwaeleza nimefungua account Upwork lakini hadi leo sipati task ya kufanya hivyo nilikua nikiomba msaada maana nimejaribu hadi kuangalia video youtube mbinu za kutumia kupata kazi haraka na nimekosa.
 
Nenda Jukwaa la Biashara hizo Mada walisha zijadili zime jaa telee
 
Kuna mtandao fulani nilijisajili zamani Kama masihara kazi zikawa zinanifuata bhana! Lakini sikuwa nampango nazo wakati huo!,si ikafika wakati nikawa nampangonazo he he he!. Kwani hata jina la huo mtandao nalikumbuka sasa!. Huo ndo ukawa mwanzo wa kujiita kenge..😎

Nikaja jisajili upwork,hata ile kukubaliwa tu hollaa..🤣
Fiverr ndo hata siwaelewagi..😅
Freelancer nishasahau kabisa!.

Mkuu si kwamba nakuvunja moyo we komaa uki focus utafanikisha sema kupata kaupenyo Sasa mwanzo huwa ni mgumu.
 
Ingia Google andika hivi
Freelancer jamiiforums
Utaletewa mada zote kuhusu Freelancers. Utapata mwanga pa kuanzia.
JF ya sasa siyo nzuri kwa afya. Ukiomba msaada upande wa Tech hautapata msaada. Ile kwenye jukwaa la MMU linafanya vizuri 99%
 
[emoji3][emoji3] hahaha sawa mkuu,MMU jukwaa pendwa kule
 
Wakuu habari ya majukumu,nimejaribu kutafuta mada ya kuhusu freelancing humu jukwaani sipati lakini kumbukumbu zangu zinaniambia hii mada iliwahi zungumziwa humu jukwaani.

Kwa sasa ishu na ajira imekua ngumu na hata mzunguko wa pesa umepungua duniani kote kutokana na athari za COVID-19. Hivyo basi tujitahidi kuonyeshana mbinu za kupata kipato kwa njia ya mtandao.Najua humu kuna watu wanaingiza pesa kwa kupitia mitandao kama ya Upwork,fivver kuorodhesha kwa uchache,lakini hawa watu hata ukiwafuata PM hawataki kuonyesha mbinu za kupata kazi kwa hiyo mitandao.

Mm ni mmoja wa wahanga wa hili jambo.Kuna baadhi ya watu nimewa PM nikiwaeleza nimefungua account Upwork lakini hadi leo sipati task ya kufanya hivyo nilikua nikiomba msaada maana nimejaribu hadi kuangalia video youtube mbinu za kutumia kupata kazi haraka na nimekosa.
Kwanza ifanye kama hobby ndo itakulipa kama ukiwaza ikulipe leo haitokulipa kamwe
 
Back
Top Bottom