Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama
1.Youtube...
Habari wakuu!!Nina flash ile yenye pande mbili yaani unaweza weka katika simu au hata pc...sasa nikiichomeka katika pc inasoma vizuri ila katika simu haisomi...msaada wa hili plz
Wadau habari zenu.?
Nilikuwa natumia Samsung A30, ambayo nilinunua mwaka juzi ,nilipanga mwaka huu ninadilishe..
bahati mbaya jana nikiwa na mashkaji tunapiga mambo niliidondosha, haifanyi kazi...
Habari za siku wanajamii
Kama ilivyo kawaida ya jukwaa pendwa la teknolojia ambapo huwa tunaelekezana mambo mbalimbali yanayoendelea katika ulimwengu huu wa sayansi.
Katika pitapita zangu kwenye...
Habari.
Naomba mnisaidie kujua program nzuri ya kuweza kurudisha driver zilizokua missing kwenye computer inayotumia window 10 pro tafadhali.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics
kampuni hiyo...
'Pinter' isomeke 'Printer'
Epson l382
Haina tatizo kwenye printing, kazi ni nzuri.
Tatizo lipo kwe kutoa copy, copy ina toka na mistari.
Wajuzi nipeni ufumbuzi.
1. Printed
Sent using Jamii...
Hanari wana JF, ni muda mrefu hatuja jadiliana hapa lakini hii ni kutokana na mambo mengi ambayo tumekuwa tukijaribu kufanya. Mengi yemefanikiwa na machache yamekuwa kama changamoto kwetu...
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.
Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari...
Nina Idea ya product ya Educational technology.
Ila ipo kwenye mahandishi mpaka sasa.
Ni wapi naweza pata mfadhili au mtu wa kufanya nae partnership?
Naombeni msaada wa mawazo.
Hizi redio zimetrend sana nowdays naombeni kufahamishwa kwa wale wazoefu na watumiaji wa redio za JBL Je zina mziki safi Maana unakuta kiredio kidogo bei 400K around
Pia kufahamu life span ipoje...
Samahani za muda huu na shida ya kufungua account ya paypel maana kuna vitu ving nataka kufanyia hii account sasa nimeambiwa natakiwa niwe na line ya safaricom hilo nifungue account ya paypel sasa...
Habari za uzima wakurugenzi nafikiri mpo poa na wanaojisikia vibaya na waliopata na majanga Basi mungu awape wepesi.
[emoji117]Twende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, nahitaji...
Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake
mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya...
Waheshimiwa kwema,
Nina tatizo la Keyboard na mouse, havifanyi kazi kwenye window 10, ila ukizima ukiwasha pale kwenye F2 inafanya kazi, tatizo ni ikaliza kuwaka ndo hapo haifanyi kazi kabisa...
Hello wakuu.
Current anafanya migration ya system inatoka language moja inaenda nyingine, tuna shift kwa sababu hii system ina deal sana na APIs tunahamia kwenye language ambayo itatupa ufanisi...
Kampuni nyingi zina jaribu kutoa aina mpya za teknolojia ambazo inabidi kusubiri au kuchukua kila mda lakini zimekuwa zikianguka kutokana na haraka haraka za hapa na pale.
Mfano kampuni nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.