Kuna mtu anataka kununua Twitter account yangu

davejillaonecka

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
704
Reaction score
755
Msaada hivi hawa jamaa ni wakweli au wanataka kuni nyoosha

1645532700037.png
 
Msaada hivi hawa jamaa ni wakweli au wanataka kuni nyoosha
Bila maelezo ya ziada huwezi kupata jibu maana hakuna anayeweza kupiga ramli. Maelezo yako ndio yanaweza kufanya mtu afanye analysis na kujua kama ni kweli au kuna jambo.
 
Ngoja ni screenshot uone
 
Bila maelezo ya ziada huwezi kupata jibu maana hakuna anayeweza kupiga ramli. Maelezo yako ndio yanaweza kufanya mtu afanye analysis na kujua kama ni kweli au kuna jambo.
Conversation Twitter inbox iyo
Screenshot_20220222-145903.jpg
 
tafuta middlem men ndo utakuwa salama. Mi niliwai kuuza yangu alikuwa anataka ya zamani kabisa.

Note.: tafuta mid men wote muwe salama
Uliuza kwa watu wa namna hii... Au ilikuaje naomba nielekeze kidogo. Na kama ya zamani , nami yangu ni ya 2010
 
Ndio ila hakunifata inbox kama wewe. Kuna site muhimu kwa mambo hayo. Mteja alikuwa wa bara la asia

Back
Top Bottom