Nicheck WhatsApp kwa 0715168802Wakuu Heshima kwenu.. kama nilivyoelezea hapo juu nahitaji mtaalamu atayeniongoza kununua bidhaa mtandaoni ambaye nitaonana naye ana kwa ana...na nitalipia gharama za huo mchakato.. natanguliza shukurani !
Kama nilivyoelezea hapo juu nahitaji mtaalamu atayeniongoza kununua bidhaa mtandaoni ambaye nitaonana naye ana kwa ana...na nitalipia gharama za huo mchakato.
Kuhusu ada?!View attachment 2131848
- Haihitaji kuonana.
- Mahala popote ulipo iwe Tanzania ua nje ya Tanzania ninaweza kukufundisha A to Z na ukawa expert katika hiyo nyanja.
- Wewe sio wa kwanza kupata hii huduma ya kufundishwa.
Mfano hai:[emoji115]
View attachment 2131861
- Huyu kwa sasa ana uwezo wa kuagiza bidhaa mahala popote duniani.
- Yupo moja ya mkoa ambao upo mpakani kwa Tanzania na Rwanda, Sitotaja mkoa.
Mahitaji
- Huwa natumia ZOOM video katika kufundisha
- Uwe na PC na uwezo wa kutumia vizuri
- Uwe na stable internet connection
Karibu
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa