Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana-JF, hapa nilipo sielewi nifanyaje maana nimepoteza data za 8 GB humo kulikuwa na files nyingi sana za muhimu ninachoshukuru documents nilizifanyia backup kivyake. Laptop yangu...
1 Reactions
3 Replies
987 Views
Nimekasirika sana na haya ma radio ya mchina, nataka sound ya nzuri ya kijanja yenye kutoka mziki halisi kuanzia vyombo mpaka mkitobwa haja sio wa pwaaa pwaa pwaa Naombeni mawazo yenu tafadhali...
10 Reactions
386 Replies
60K Views
Habari, Naomba kufahamishwa mahali naweza mafundi bora na wa uhakika kwa hapa Dar es salaam wa computer ukiacha hawa wa machinga complex ambao baadhi yao wamekua sio waaminifu.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Ninatumia Epson L386 yenye wino YMCB kwa matumizi yangu binafsi, wiki iliyopita nilikuwa naitumia kuprint coloured documents, ghafla ikaacha kuprint colour zote YMC ikabaki...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Tumekuwa na channels nyingi ambazo zinapatikana free ila changamoto ni zimekuwa katika satellite tofauti tofauti mfano clouds TV 3e,clouds international 75e, tve 75e, wasafi tv78e, dira na star TV...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu habarini za mizunguko ya hapa na pale, ni matumaini yangu ni wazima wa afya. Ninahitaji kufanya biashara online, kwa kulitambua hilo nahitaji kujitangaza hivyo basi nahitaji kuwa na...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
naombeni wakuu namna ya kufanya ili kupata followers instagram ni vipi wakuu??
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu naomba msaada simu yangu Huawei Y7 2018 prime imekataa kufungua app zote za Google na ku sync data pia kila nikiingiza email yangu ya account ya Google na password inakubali ila inaleta...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada wa hiyo app kama kuna mtu mwenye link ya Poweramp Premium. Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thank you. Chief-Mkwawa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kwema. Kama mada inavyoeleza hapo juu. Ikiwa kuanzia generation ya 4 itakuwa better. Naombeni mwongozo.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Haya wapendwa katika bwana, ndugu yenu mnisaidie sasa, weekend hii tumeongeza tv nyingine kumbe inaking'amuzi kwa ndani!! Kuna mtu akanambia ukiweka antena zile za ndani utapata free chanels...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu nawasalimu, Simu yangu (Samsung A50) ilipasuka camera so inatoa picha zenye ukungu, simu bado ni nzima kwa kila idara ba inakidhi mahitaji yangu isipokuwa huo ubovu wa camera pekee. Sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini watu wa Mungu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni msaada nimehangaika kweli kweli mathsjery
2 Reactions
4 Replies
961 Views
I am currently using fmwhatsapp 8.35 and recently I have to receive notifications of new fmwhatsapp 8.40 updates regularly. I went to the vendor that I regularly updated but did not see the 8.40...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Perpetual motion machine; can we create one Katika pitapita zangu kwenye vitabu namekutana na hiki kitu perpetual motion, ambacho wanadai mpaka saiv ni theoritical Yan haiwezekan practically coz...
2 Reactions
9 Replies
999 Views
Kutokana na hofu ya Usalama, India imezuia upatikanaji wa 'App' 54 kutokea China. Tangu mvutano wa kisiasa kuibuka kwa mara ya kwanza na China Mwaka 2020, India imepiga marufuku jumla ya 'App' 321...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Habarini bandugu! Hivi ni kwenye simu yangu tuu au ni ukweli kwamba kwamba Tweeter ipo chini? Kama ipo chini naamini kwa asilimia 100 kuwa kuna uhusiano na kile kinachoripotiwa na Martin kutoka...
0 Reactions
3 Replies
797 Views
Mtandao wa Facebook ulio chini ya Meta umeboresha katika sehemu ya mazungumzo yake ya messenger. Ikumbuwe Messenger pia imeunganishwa na Facebook hivyo Mtu anaweza kuchati Messenger kwa kutumia...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Fahamu hili ➡ kuna website inaitwa WWW.RAINYMOOD.COM Hiii ni website ambayo inakupa uhalisia wa mvua yaani kama upo ndani itakufanya uhisi njee kuna mvua 💦💦💦hata kama kuna jua Kali kiasi gan...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu nina m1 cash now nichukue laptop gani nzuri si lazma iwe mpya hata refurb sio mbaya nisaidien wadau iwe na spec gani? Kama kuna mdau anauza anicheki inbox au hapa hapa deal lazma owe leo...
0 Reactions
5 Replies
792 Views
Back
Top Bottom