Namna ya kufunga Fingerprint kwenye mlango

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,468
1,329
Hello ndugu zangu naomba kuelimishwa namna gani naweza kuunganisha fingerprint kwenye mlango na smartphone. Mwenye uelewa a share na mimi.

Nahitaji kuongeza watumiaji wa mlango na kuset password zao.

Karibuni wadau
 
Namaanisha ni passgate kwenye ofisi yani mlango wa kuingia kwenye ofisi ya kampuni. Madhuni ya kuweka hii ni kwamba kujua reporting ya wafanyakazi.
 
Hello ndugu zangu naomba kuelimishwa namna gani naweza kuunganisha fingerprint kwenye mlango na smartphone. Mwenye uelewa a share na mimi.
Nahitaji kuongeza watumiaji wa mlango na kuset password zao.
Karibuni wadau
Ongeza haka kadude.

1645583618864.jpg
 
Sometimes hakuna namna hasa kama ukiishi na wasiojitambua.. Sasa hivi naelewa ni kwanini hata majokofu yana kufuli
Unajua ufanisi kazini haupimwi kwa maudhurio, bali utendaji na ku-deliver. Mwisho wa siku ni kitu gani mfanyakazi anachangia kufikia malengo ya mwajiri. So HR wengi hawajielekezi katika kuhakikisha mfanyakazi anatumika vizuri, wako very mechanical.
 
Back
Top Bottom