Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,237
- 34,183
Tumekua na tabia ya kutumia cracked software au software za wizi bila kujua kuna free altenatives ambazo zina ubora sawa na tunazo iba/crack!
Hizi kwa mtazamo wangu ndio software bora za bure kwa ajili ya video editting!
1. Kdenlive.
Hii ni bure kabisa cha kufanya ingia google search "kdenlive" then install baada ya hapo ingia youtube jifunze jinsi kutumia then you are good to go!
2. Blender.
Hii wala sina la kuongeza, ni moja kati ya software bora kabisa linapo kuja swala animation na video editing! Kama kawaida ingia google search "blender download" then install!
All in all sioni kama una haja ya kuiba software kwa ku crack wakati kuna free altenatives!
PS: Software nyingine ambazo ni bora na ni free...
3. Davinci resolve.