Postcode za mikoa yote Tanzania orodha hii hapa

nyanja255

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
103
Reaction score
59
Kuna app nilikuwa nahitaji kuinunua play store kwa matumizi yangu binafsi wakati nikijaribu kulink card yangu ya kufanya online payment ikawa inanilazimu niweke postcode ili kukamilisha usajili maana kwa paypal hawapokei, ikabidi nisearch online kwa bahati nzuri TCRA tayari kwenye website yao wameshaweka orodha ya nchi nzima kuanzia ngazi ya mkoa mpaka kijiji baada ya kupata postcode/zip code nikaona ne vema niwafikishie wanajamvi wenzangu hapa maana yawezekana kuna mwingine anatafuta postcode lakini hajafanikiwa kuzipata. Pakua list kwenye attachment

[pdf]https://www.jamiiforums.com/attachments/postcode-tz-pdf.417460/[/pdf]
 
Attachments

Kuna app nilikuwa nahitaji kuinunua play store kwa matumizi yangu binafsi wakati nikijaribu kulink card yangu ya kufanya online payment ikawa inanilazimu niweke postcode ili kukamilisha usajili maana kwa paypal hawapokei, ikabidi nisearch online kwa bahati nzuri TCRA tayari kwenye website yao wameshaweka orodha ya nchi nzima kwanzia mikoa mpaka wilaya zake. nikaona na mimi niwafikishie wanajamvi wenzangu hapa maana yawezekana kuna mwingine anatafuta postcode lakini hajafanikiwa kuzipata. Pakua list kwenye attachment
Ahsante sana.
 
Ahsante nimeijua postikodi ya kijiji changu
 
Mbali na matumizi hayo mkuu naomba kufahamu matumizi mengine ya hozi pstcode mkuu hapa kibongobongo!! samahani
 
Ninakushukuru sana, kwa sababu nilikuwa ninaamini kuwa nchi yetu haina post code kabisa
 
  • Ninakushukuru sana, kwa sababu nilikuwa ninaamini kuwa nchi yetu haina post code kabisa
 
Bila postcode/zipcode huwezi kufungua a/c za microsoft mfano, Outlook,Hotmail,Live,Msn, N.K
 
Back
Top Bottom