Msaada: Iphone 7 plain inasumbua chaji

Msaada: Iphone 7 plain inasumbua chaji

Bengoldstar

Member
Joined
Apr 24, 2022
Posts
67
Reaction score
47
Habari,

Nina simu Iphone 7 plain haijamaliza hata mwezi tangu ninunue lakini inasumbua charge haitunzi kwa siku nachaji zaidi ya mara nne, nifanyeje wadau?
 
Battery life linasoma /%ngapi mkuu,,battery og ninaweza kukutumia
 
Habari,

Nina simu Iphone 7 plain haijamaliza hata mwezi tangu ninunue lakini inasumbua charge haitunzi kwa siku nachaji zaidi ya mara nne, nifanyeje wadau?
Betri kimeo hapo ni kubadilisha tu...sema kupata betri og napo bado ni mtihani...

Kuna kipindi nilikuwa na 6+ yan ikifika saa 6 mchana ishaisha 😄, ikabidi niiuze tu.
 
Betri kimeo hapo ni kubadilisha tu...sema kupata betri og napo bado ni mtihani...

Kuna kipindi nilikuwa na 6+ yan ikifika saa 6 mchana ishaisha [emoji1], ikabidi niiuze tu.

Dah yaan inatesa sana boss
 
Hatari sana hiyo badili haraka weka battery mpya
Hiyo inaweza kulipuka ikivimba sana
Usilazimishe kuchaji
 
Mkuu, simu ya mwaka 2016 bado wahangaika nayo tu?

Jitahidi ufike hata iPhone 11
 
Habari,

Nina simu Iphone 7 plain haijamaliza hata mwezi tangu ninunue lakini inasumbua charge haitunzi kwa siku nachaji zaidi ya mara nne, nifanyeje wadau?

Zoea tu ndo zake mm yangu nshaizoea labda ubadili battery
 
Back
Top Bottom