Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Unajua kwanini imepewa jina la android ?
Toka kuanzishwa kwake mwaka 2008 mfumo mzima wa google android operating system umekuwa maarufu sana ulimwenguni .unajua jina la "android" Lina msisimko Fulani hivi wa kusisimua.
Unajua kila mtu anajua google anamiliki mfumo mzima wa uendeshaji wa android lakini Google [emoji1] Wala sio waanzilishi.
Makazi ya android yalianzia calfonia mwaka 2003 ambapo miaka mitano mbeleni smartphone ya kwanza yenye mfumo wa android iliweza kuachiwa. Ilianzishwa na mr Andy Rubin , rich miner , nick sears pamoja na Chris white.
Mwanzoni android ilitengenezwa kwa ajili ya mfumo Uendeshaji wa masuala ya kidigitali ya kamera ila wazo alikuchukua muda waliweza kujua kuna uwezekano wa kufanya zaidi.
Google walianza kutengeneza Simu ya android ya kwanza mwaka 2008 ambapo waliweza kuita jina la T - Mobile G1 ambapo mpaka Sasa Vifaa vya Android vimeendelea kutolewa kwa kasi ya ajabu tangu wakati huo.
𝗝𝗜𝗡𝗔 𝗟𝗔 𝗔𝗡𝗗𝗥𝗢𝗜𝗗 𝗟𝗜𝗠𝗘𝗧𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗣𝗜 ?
Neno android mwanzoni lilikua linatumika kuelezea Roboti [emoji880] zinazofanana na mwanadamu miaka ya 1700 matumizi ya mwanzoni yalikua yanaelezea matumizi ya vifaa vya mitambo vilivyofanana na mwanadamu.
Lakini kiuwalisia atusemi kwamba njia iyo imetumika kuipa jina la android moja kwa moja kwani Mr Andy Rubin kabla ajaja google alifanya kazi Apple kutoka 1989 hadi 1992. Huko Apple, alipewa jina la utani "𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱" kwa kuwa alikua anapenda sana roboti.
jina la android alikuundwa kwa ajili ya mfumo wake Bali ni jina la utani alilopewa Mr andy Rubin ila jamaa Ayupo tena Google ila jina lake linaendelea kuwepo.
Uko ndo chimbuko la android lilipotokea natumai umejifunza jambo ?
Teknolojia ni Yetu sote [emoji110]