Naomba kujuzwa umuhimu wa program ya Matlab

Naomba kujuzwa umuhimu wa program ya Matlab

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,356
Wazee naomba kueleweswa matumizi sahiii ya hii program ya Matlab. Pia nawezaje kupata setup yake? Asante
 
Wazee naomba kueleweswa matumizi sahiii ya hii program ya Matlab. Pia nawezaje kupata setup yake? Asante
Nakumbuka miaka hiyo tuko chuo tunafundishwa hii matlab!

Kwa kifupi matlab inatumika katika scientifc and engineering projects.

Hii software yake nambuka ilikua na gb za kutosha ila kupata unaweza lipia kwenye website yao ukapewa key zake!
 
-modeling
-Design
-analysis
-simulation

Of atleast the following systems
-electrical & electronics
-automation
-Data science & machine learning/AI
-mechanical including fluid mechanics
  • thermal
  • statistics & calculus
  • programming
etc

Matlab can model almost any project in science and engineering.
 
Bila kusahau civil engineering
Archecture
Ipo hadi kwenye plate number za magari inaweza kufanya kazi kutokana na uhitaji wako
 
Hivi naweza kupata mtu au sehemu wanapo fundisha ili nijifunze namna ya kuitumia kwenye data analysis na mambo ya project management?
Wewe unataka u-base kwenye nini, programming, electronics, electrical, maths, architecture, structuralengineering...? Manake ina mambo mengi mno.

Unaweza kusoma online, huko YouTube naamini kuna tutorials za kutosha, au nenda kwenye tech institute kama dit uulize.
 
Ok poa mkuu... Nashukuru kwa maelekezo.[emoji120]
 
Back
Top Bottom