Class method and static method

Class method and static method

East

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2022
Posts
603
Reaction score
1,725
Habari wakuu!

Naombeni msaada kidogo nimekwama hapa natumia python programming language. Nimeshindwa kuzielewa kabisa na jinsi ya kuzitumia. Bado najifunza ndio nipo kwenye object-oriented programming.

Karibuni
 
Class method ni ambazo zinatoa huduma zinazopatikana kwenye class husika mfano getters zinazotumika kuaccess data za attributes(variable) ya class. Halafu static method ni method ambayo inakua inahusiana na class moja kwa moja badala ya ile copy ya class.
 
Back
Top Bottom