Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,336
- 2,722
Mwanzoni Kabla ya iphone ilikua na majina mengi ilianzia kwenye iPad , Kisha telepod, mobi alafu tripod ndipo wakamua kuita Iphone.
Iphone ni Aina moja wapo ya smartphone iliyotengenezwa na Kampuni ya apple Inc, inatumia vifaa vyenye mfumo wa iOS. iphone ya kwanza ilitengenezwa na kutangazwa aliyekua Mkurugenzi Mtendaji wa Apple bwana Steve Jobs. Tangu wakati huo mpaka Leo apple kila mwaka inaleta matoleo mpya ya iphone na iOS updates.
makazi yake ni marekani japo sehemu kubwa ya duniani pia Wana makazi ila makazi makuu ni marekani ndiko vifaa vingi vya kieletroniki vinatengenezwa kuanzia simu,kompyuta software pamoja na online services zote.
Apple walikuja na iphone ya kwanza ilijulikana kwa jina la iphone 2G , iphone 1 au original iphone ilikua Simu Ya kwanza kutoka Kampuni ya apple ilitengenezwa January 7 2007 na kuuzwa rasmi marekani mwaka 2007 June 29.
Toka kuanzishwa kwake Hadi sasa zaidi ya iphone bilion 2.2 zimeuzwa ulimwenguni. Ambapo mwaka 2011 Octoba 5 Bwana Steve Jacobs alifariki Dunia enzi za uhai wake alijulikana sana kwa umakini wake kwenye kuunda bidhaa pamoja na uwezo wa kuwasiliana na wateja.
Unajua MrJobs alitaka kuunda vifaa vyenye kutumia intaneti (muunganisho wa intaneti) itakayoweza kufanya watu kuwasiliana kwa urahisi sana na kufanya huduma zinginezo.
JE, JINA LA IPHONE LIMETOKEA WAPI?
Ukiangalia bidhaa nyingi za Kampuni ya iphone zina anzia na Herufi "i" kama vile iMacs, iPhones, iPod, iBook na nk.
Unajua imeitwa Iphone sio kwa sababu masuala ya kuunganisha watu kwenye ulimwengu wa intaneti pekee pia kwenye masuala ya kibinafsi kifaa kinachoweza kujibinafsisha kwa kupenda kwake mwenyewe sio kiungiliwa na Kila kifaa.
Ivyo neno ( i ) kwenye iphone ni intaneti , individual , instruct , inform na inspire
Unaweza kusogeza picha kuona iphone ya Kwanza kabisa kutengenezwa na apple
View attachment 2223378