Mobile phone graphics designers special thread

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,369
1,169
Sijui ilitakiwa iitwe 'smart phone graphics designer' au mobile phone (km limekaa kizaman hv ) anyways kmsing tittle imeeleweka au sio?.

Ok, hii thread itahusu na ni makhsus kwaajili ya wote wanaopenda kufanya graphx designing kwa njia ya cm na wenye interest na vitu km hv vya sanaa. Hapa tutazungumzia kuanzia artworks za kawaida to the animations, to the motion graphx, digital drawings, 2D, 3D, na mazaga mazaga mengine yafananayo na hayo..!

Sidhan km kunahaja ya kuelezea ni jinsi gan technology kwny smartphone zetu vile namna imekua, kuanzia hardware mpaka software yaan hiko kifaa mkononi mwako sasa hv sio 'smartphone' tena bali ni device. Napoiita device namaanisha ss tunaweza tukai categorize kwny level ya ka computer kadogo kanako fit kwny kiganja cha mkono wako..and u know thay!

No doubt industry ya mobile grphx designing inakua tena inakua kwa kasi. Na ningependa through this thread tuchambue kwa upana wake techniques na namna ya kutumia app & platform kufanya kaz za graphiti.

But before that ..unaweza kujiuliza kwa nn kuna upcoming art waves zlizosababisha industry ndogo lakini inayokua kwa kasi ya mobile graphx designing kukua kwa sasa..?

Kwanza niseme 'hakuna' kilichobadilika grphx designing ni ile ile core basics principle ni zile zile, ubunifu na utundu wa sanaa ni ule ule ila kilichobadlka ni platform tu. Kwa maana kwamba kwa sasa ukiamua unaweza kutengeneza artworks zako kwny cm au kwakutumia laptop / desktop ni ww tu!

Kuna vitu km vitatu hv vlivyochagiza industry ya mobile designing kukua kwa kasi sn now days.

Cha kwanza specifications za simu zenyewe za ckuiz. Unakuta cm zina storage kubwa had 128GB, RAM ya kutosha kabisa, Camera kali inawezakuchukua picha quality fresh tu yan, Screen size kubwa tu ambayo unaweza kuitumia vzr tu kwny ku design. Ss cm ya namna hii kwanza inaweza kuhifadhi mafaili mengi ya ujazo mkubwa, pia inauwezo wa kuprocess functions vzr tu bila shida unapotumia apps za usanifu picha kwa mtindo huu hata sishangai kuona industry hii ikipata wateja kwasababu mazingira ya sasa yanaruhusu.

Number two, inahusu kukua kwa mitandao ya kijamii. Yaan kat ya engine kubwa ambayo inasababisha kuibuka kwa designers wa simu bas ni hii. We fikiria tumezungukwa na ma giants wa social networks like ticktok, huku fb, pale kati twitter hapa insta, pemben kuna whatsapp, hapo sijawazungumzia akina youtube, achana na jamiiforums, weka mbali akina pinterest cjui telegram na wenzake akina snapchat sasa hz social media platforms zna accelerate kukua kwa hii industry sabab muda mwingi mtu anakua na smartphone kuliko kompyuta mpakato so, in one way or another anashawishika kutumia cm yake kufanya designs ili ku share kwny mitandao yake ya kijamii hapo hapo na kwa urahisi hakuna mfano. Kuliko kutumia njia ndeefu ya kutengeneza kazi kwa pc na kisha kuileta kwny cm na ku share kwny mitandao yake ya kijamii.

And the other strong reason number 3 ni ku develop kwa apps ambazo zinanguvu kuweza kutoa kazi kali as if imetengenezwa na photoshop or illustrator au coreldraw. Sasa hv play store kuna apps nzr tu na zingne ni free kabisa znazomuwezesha designer kufanya kazi nzr inayopendeza machoni.
 
Thread za namna hii bana bila tupicha picha hata hua hainogi, tupate fahari ya macho kdg kisha tuendelee, sample of artwork zote unazoziona hapo zmefanyika kwa cm!
20220509_040456.jpg
View attachment 2217550View attachment 2217547View attachment 2217546View attachment 2217545View attachment 2217548View attachment 2217549
 
Hebu nitoe ushamba zaidi kwahio simu yenye uwezo mkubwa mfano S10 plus inaweza kufanya kazi ambazo PC inafanya bila shida yoyote
 
Hebu nitoe ushamba zaidi kwahio simu yenye uwezo mkubwa mfano S10 plus inaweza kufanya kazi ambazo PC inafanya bila shida yoyote
Ume generalise sn, mi nlikua nazungumzia kpande kdg sn cha mambo ya graphx designing.. Lakin kwa kuchangia hoja yako sisemi kua fully functional cm imeipiku pc HAPANA, lakin ni waz kua kuna baadh ya apps kwny cm znakarbiana kabisa na programs za kwny pc kiuwezo. Mfano mdg kun version ya Microsoft office hv pale playstore ambayo ndan yake kuna Ms word, ina Ms exel, ina Publisher na ukiziangalia zinauwezo wa kutoa document ukiambiwa imekua typed na cm unabisha.
So labda baadae mambo yanaweza kuchange watu wakawa wanatumia cm zaid kwny office work na computer zkabak kuendesha shughuli kubwa kubwa au mitambo mikubwa mikubwa who knows...
 
Mfano mimi ukiniuliza wap pakuanzia na kujifunza mobile graphx designing bas sehemu ya kwanza ni simu yenyewe. Yaani aina ya simu. Simu pendekezwa hapa ni kama Samsung note series karb zote zinafaa kwa kaz hz (Samsung Galaxy note 2, note 3, note 4, note edge, sabab kuu ni zinakuja na kale ka stick au ka pen flan hv kwaajili ya kuchorea na ku tachi small objects unapofanya kaz zako. Sio brand ya Samsung pekee wanakua na vi peni hv nmeona hata infinix note 10 nao wanakitu kama hiki. So, iwe simu ya brand yotote ile lakini cha msingi ikiwa na ka pen inakurahisishia sn kaz zako. Kwa s/phone za aina zngne unaweza ukafanya sabab apps hua ni zile zile sema shida nayoiona hautakua na wepesi au urahisi kama mwenzako mwny stick pen vile anaweza kufanya..
 
Mfano mimi ukiniuliza wap pakuanzia na kujifunza mobile graphx designing bas sehemu ya kwanza ni simu yenyewe. Yaani aina ya simu. Simu pendekezwa hapa ni kama Samsung note series karb zote zinafaa kwa kaz hz (Samsung Galaxy note 2, note 3, note 4, note edge, sabab kuu ni zinakuja na kale ka stick au ka pen flan hv kwaajili ya kuchorea na ku tachi small objects unapofanya kaz zako. Sio brand ya Samsung pekee wanakua na vi peni hv nmeona hata infinix note 10 nao wanakitu kama hiki. So, iwe simu ya brand yotote ile lakini cha msingi ikiwa na ka pen inakurahisishia sn kaz zako. Kwa s/phone za aina zngne unaweza ukafanya sabab apps hua ni zile zile sema shida nayoiona hautakua na uhisi na ursahisi kama mwenzako mwny stick pen vile anaweza kufanya..
Mifano ya note series..
SmartSelectImage_2022-05-15-09-13-55.jpg
View attachment 2225141
 
Hua namchumkulia graphx designer kama engineer, na engineer yoyote yule hua hawez kufanya kaz yake kwa ufanisi kama hana tools. Vifaa ndo kila kitu kwake. So, kwa graphx designer tools zake zipo ktk mtindo wa software. So hapa chini nitachambua apps ambazo unaweza kutumia ili kufanya artwork za kuvutia kabsa like a pro. Ila kwanza nitapenda kuzigawanya ktk makundi makubwa mawili.

1)kuna ambazo hua zinatumia internet kufanya kaz, yaan ili uzifaidi feature zake ni lazima internet connection iwepo wakat unafanya kaz.

2) kundi la pili hz hauhitaj net ili kufanya kaz unless kuna updates imefanyika so, ukaamua kui update. Even offline they work better!
 
Back
Top Bottom