Kwa Usalama wako Usi save Password kwenye browser kama simu yako haujaiwekea lock ya aina yoyote!!!!!

Mkuu mtu ukisipoweka lock simu ni rahisi kuona password akifungua chrome>setting>basics>password anaona login details zote ulizo save kwenye email yako ila ukiweka lock hitaitaji password/fingerprint I'll aone password
 
Kwanza kwa sheria za mawasiliano zilizopitishwa enzi za mwakyembe akiwa waziri wa mawasiliano ni kosa kumiliki simu janja pasipo kuiwekea lock yeyote na faini yake ni 5mil kama sijakosea.
 
Back
Top Bottom