Whatsapp data ni picha zako, sauti, video, backup etc. Una uhakika unataka kuzifuta?Wataalamu naombeni msaada, app ya Whatsapp haitaki kuclear data, Ina mb 400 nikiclear data zinabaki vilevile, nimejaribu kuifuta na kuidownload upya lakin bado shida iko pale pale.
Kukushauri tu ni bora ununue simu yenye storage kubwa, ukiendelea na hizi simu za GB 32 au 64 basi weka backup ya external storage, otherwise kwenye simu usiweke whatsapp,TikTok, Facebook etc maana itakuwa inakukera kila siku kwa kutumia nafasi kubwa kwenye simu.Wataalamu naombeni msaada, app ya Whatsapp haitaki kuclear data, Ina mb 400 nikiclear data zinabaki vilevile, nimejaribu kuifuta na kuidownload upya lakin bado shida iko pale pale.
Ni kweli ukiweka external storage simu inakuwa slow?Kukushauri tu ni bora ununue simu yenye storage kubwa, ukiendelea na hizi simu za GB 32 au 64 basi weka backup ya external storage, otherwise kwenye simu usiweke whatsapp,TikTok, Facebook etc maana itakuwa inakukera kila siku kwa kutumia nafasi kubwa kwenye simu.
Umefuta unavyoviona kama picha, sauti, video etc ila kuna data kama Backups huwezi zifuta kirahisi.Mkuu, nimefuta vitu vyote nilivyotumiwa via WhatsApp lakini tabu uko palepale