Mwenye ufahamu na simu ya iPhone 7 anisaidie

Mwenye ufahamu na simu ya iPhone 7 anisaidie

Mpya hii.. ngoja wajuzi waje..

Nachojua kuna wakati inaomba touch ID
 
Imenipa shida kidogo kila ninapofungua file au kudownlod file lolote inaniambia niweke iphone ID. Nimeshindwa cha kufanya
Simu ni yako au ulinunua kwa mtu??
 
Na kwanini atupe? Kwani haipigi na kupokea? Hai receive na kutuma docs?

Hapa nataka nikiokota hela ninunue iPhone 5 ya 2012.. kiroho safi 😎
Ni sawa na kununua torch maana hata whatsapp haitoingia
 
Nitaka update bana kataingia 🤣 na katapata software version 15:4:1 IJN
Mh hyo itakuwa ajabu mkuu. Mimi napenda tumia tu simu latest bora niwe hata na midrange lakini latest siwezi nunua simu flagship hata ya miaka 3 iliopita
 
iphone 7 mbona unyama mwingi tu [emoji1487] achana na hao wanaokalili simu mkuu, hapo unachotakiwa kufanya ni kuweka  id yako alafu…………….
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom