Simu yangu Samsung Note 10 haikai na chaji, nifanyaje?

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,766
Reaction score
2,684
Habari wakuu,

Samsung Note 10 yangu, mwaka jana ilianza kutokaa na chaji. Mafundi walinishauri nibadili betri. Nikabadilisha pale Kariakoo nikimshuhudia fundi hatua kwa hatua.

Ghafla haikai na chaji. Nimepeleka kwa mafundi wawili, wanafanya ujanja wa kuiset inachaji hadi 100% nikiwa ofisini kwao, lakini nikifika home chaji inakuwa zero na haipandishi.

Naombeni msaada.
 
Badili charger .kwanza
 
Hiyo ishakufa mkuu usipoteza hela tatizo hilo nishawai pata kwenye Samsung S4 kitambo sana nilizunguka dar yote posta na kariakoo, mpaka kwenye ofisi za Samsung yule fundi akanichana tu bro simu motherboard ishakufa inafyonza umeme mwingi we nunua tu nyingine
 
Na mimi nilinunua hizi za used frm.....samsung s21fe 5g ina miezi 3 tu na tatizo sawia na hilo limeanza.
 
Habari wakuu,

Samsung Note 10 yangu, mwaka jana ilianza kutokaa na chaji. Mafundi walinishauri nibadili betri. Nikabadilisha pale Kariakoo nikimshuhudia fundi hatua kwa hatua.

Ghafla haikai na chaji. Nimepeleka kwa mafundi wawili, wanafanya ujanja wa kuiset inachaji hadi 100% nikiwa ofisini kwao, lakini nikifika home chaji inakuwa zero na haipandishi.

Naombeni msaada.
Badili betri
 
Back
Top Bottom