Router ya Voda imeandikwa 5G na niliichukua Vodashop. Lakini ajabu ni kwamba, panel yake inasoma 4G na spidi (Mbps) haifiki hata 25 kwa kifurushi cha Tsh. 110,000.
Hii imekaaje? Yaani unanunua router kwa Tsh. 138,000 na kuweka kifurushi cha Tsh. 110,000 alafu hupati hata 5G
Hiki kifurushi kikiisha nitaitupa jalalani, niendelee kuunga vocha. Nilikuwa napata mtandao wa 5G vizuri tu kwenye simu, japo ni kwa gharama.