Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habar zenu Nahitaji prosesa i7 Gen 8 au i5 Gen8 ya dekistop Nanunua kwa bei nzuri Kama unayo namba niuzie Shukran sana kwenu
0 Reactions
10 Replies
966 Views
naomba kujua photocopy machine( black and white) all in one nzuri ambayo ni heavy duty kwa stationery ya kuanzia m1 to m3 used but in good condition
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu Habari za jioni Nina email yangu ya Gmail ambayo nilikuwa natumia pia kwenye simu yangu ya iPhone 7 Sasa wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu pale mwenge mataa Ila Leo jioni hii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru... Found Applications port...
1 Reactions
0 Replies
849 Views
Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna app nilikuwa nahitaji kuinunua play store kwa matumizi yangu binafsi wakati nikijaribu kulink card yangu ya kufanya online payment ikawa inanilazimu niweke postcode ili kukamilisha usajili...
4 Reactions
17 Replies
25K Views
Unajua kwanini imepewa jina la android ? Toka kuanzishwa kwake mwaka 2008 mfumo mzima wa google android operating system umekuwa maarufu sana ulimwenguni .unajua jina la "android" Lina msisimko...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, Nina simu Iphone 7 plain haijamaliza hata mwezi tangu ninunue lakini inasumbua charge haitunzi kwa siku nachaji zaidi ya mara nne, nifanyeje wadau?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini guys, nina pc yangu ambayo nikichomoa tu power cable inazima tatizo ni nini? Msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Wazee naomba kueleweswa matumizi sahiii ya hii program ya Matlab. Pia nawezaje kupata setup yake? Asante
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tumekua na tabia ya kutumia cracked software au software za wizi bila kujua kuna free altenatives ambazo zina ubora sawa na tunazo iba/crack! Hizi kwa mtazamo wangu ndio software bora za bure kwa...
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu natumai mu bukheri wa afya. Niliwahi kusikia kuwa ukiwa na SMART TV unaweza kuunganisha kwenye simu yako na ukaangalia mechi za mpira wa miguu live kupitia Link mbalimbali zinazorusha mpira...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Wanasema shida huleta maarifa pale matatizo yanapotokea. Teknolojia ya gari zinazotumia umeme imekuja kushamiri kipindi mfumuko wa mafuta hukishika kasi. Pitapita zangu ni kuuliza inawezekana...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kwema... Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution... Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..?? Msaada tafadhari.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
I just got a laptop after several months of saving. I'd like to learn data science or Web development vigorously. Is it feasible to learn both? If yes, which should I start with?. I learn one has...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, ninatafuta Youtube adsense,mwenye nayo tuwasiliane PM
0 Reactions
1 Replies
637 Views
Kama umenunua kompyuta inayotumia mfumo wa window mara zote tunaita "PC". LAKINI wakati mwingine Mac nazo zinaitwa "A PC" pia. Je Kuna Siri Gani apa!! kwanini kompyuta zinaitwa PC hata hivyo...
1 Reactions
4 Replies
907 Views
Kila siku tunasikia wimbo kwamba TEHAMA tuko nyuma, tunahitaji wataalamu. Tunaona serikali ikihama kutoka kwenye paper files kuelekea kwenye mfumo wa mtandao; kuanzia malipo, maombi ya ajira...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ