๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐˜๐˜„๐—ฎ ๐—ฃ๐—– !!!

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Kama umenunua kompyuta inayotumia mfumo wa window mara zote tunaita "PC". LAKINI wakati mwingine Mac nazo zinaitwa "A PC" pia. Je Kuna Siri Gani apa!! kwanini kompyuta zinaitwa PC hata hivyo?? Nitakuambia.

Turudi nyuma kidogo mwaka 1981 August , IBM iliweza kutengeneza personal computer nchini marekani kutokana na iyo bidhaa kuwafikia watu wengi basi midomoni kwa watu wakaanza kuita IBM PC kwa kifupi.

Ndani ya miaka michache Kampuni zikaanza kuuunda kompyuta za IBM na kuuunda mashine zingine ambazo azikua na Lebo ya IBM. Kwaiyo neno PC kwa miaka iyo likawa ni jina kwa kompyuta ambazo zisizo na Lebo ya IBM ambazo zilitoka kwenye iyo iyo Kampuni ya IBM kompyuta.

Microsoft window ilianzia kwenye jukwaa la IBM kama Ganda (sticker) kwenye kompyuta zote za IBM PC ambayo walikua wanatumia Microsoft disk operating system (Dos).

Kwaiyo watu wanaposema "Kompyuta" siku hizi, ni kawaida humaanisha kompyuta inayoendesha Windows, ingawa wakati mwingine watu hufafanua kwa kusema "Windows PC" badala yake.

Ulikua unajua hii au ndo tunakujuza Tunakutakia Eid Al fitir njema Wana Teknolojia

Hakika Teknolojia ni Yetu sote #bongotech255
IMG_20220503_151651_902.jpg
 
KWA KUONGEZEA

Computer zipo za aina nyingi,
Super computers hizi sio pc
Mainframe computers hizi sio pc
Special purpose computers inaweza kuwa pc
PDA s (Kama vile kindle, smart glasses etc)
Personal Computers hizi ndio multipurpose/off shelf computers ambazo pia zinabebeka (PC) kama vile laptop/desktop.

&&&&&&&&&&&&&&&&&&

Saa yako ya mkononi ni computer (Special purpose computer).

Calculator ni special purpose computer.
Simu ya mkononi ni computer.
Pump ya mafuta (Fuel dispenser) ni special purpose computer .
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom