Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, Infinx hot 11 play kushindwa kupakua video online hii inatokana na nini?
0 Reactions
8 Replies
934 Views
Kwa wajuzi wa mambo nahitaji kufahamishwa hili, Mfano nina unit 12 kwenye luku na nna washa feni ya watt 70 au taa ya watt 5 nawezaje kujua taa ya watt 5 inaweza kuwa kwa masaa mangapi kwa unit 12...
3 Reactions
26 Replies
21K Views
Hello bosses, Nimekua nashiriki kwenye bug bounty programs na Pentesting lkn nikaja kugundua changamoto kubwa ni vifaa(software tools & scanners) pamoja na poor reporting. Yaan pentesting project...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Here is a list of ADB commands that you can use through CMD or ADB Shell on local device: ADB Basics adb devices (lists connected devices) adb root (restarts adbd with root permissions) adb...
1 Reactions
1 Replies
862 Views
Habari za muda huu wanajukwaa, bwana nimefuatilia galaxy note 8 nimefurahisha na specifications zake. Dual camera, big screen size, high ram and other premium features, lakini kinachonipa wasiwasi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mistari inatokea kwenye display (monitor), mistari hiyo inakuwa na rangi ambayo hujaa nusu ya kioo cha monitor Kwa wima (vertical lines). Nimejaribu google wanasema ni graphic drivers au...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu niko Dar nataka kuwa na Sim Card ya Rwanda MTN, Naipataje mwenyewe connection
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za humu wanaJF Niende moja kwa moja kwenye mada najua kuna bunifu mbali mbali zimekuwepo na zinaendelea kubuniwa na zinasaidia kiujumla, Ila hii ya kwangu ni yakipekee na inahitaji tu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajuzi wa mambo nafanyaje kutatua hili tatizo la cursor ya mouse kutembea yenyewe? Nime update avast antivirus na kiscan system nzima laki wapi
1 Reactions
3 Replies
934 Views
Inaripotiwa kuwa, Maafisa wamevamia na kupekua Ofisi kadhaa za Kampuni ya Kielektroniki ya Vivo kutoka China kufuatia shutuma za utakatishaji Fedha. Mapema mwaka huu, upekuzi wa aina hiyo pia...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Wakuu mwezi uliopita rafiki yangu alikuja kunisabahi kutoka Marekani - Washington, mbali na vitu vingi ameniletea pia zawadi ya IPhone 13 Pro Max, Gb 128. Kiukweli, mimi sio muumini wa divice za...
1 Reactions
126 Replies
11K Views
Mimi ninapokaa, mita ya maji inasumbua sana. kuna muda inaweza ikawa hutumii maji kabisa lakini mita inaonekana inatembea, sijajua shida ni nini. naomba msaaada nini cha kufanya.
0 Reactions
6 Replies
829 Views
Wajomba na mashangazi habari zenu, nipo hapa kuomba msaada wenu. Nataka kutuma email zaidi ya elfu kumi kwa nyakati tofauti ndani ya mwaka mmoja nikitumia Gmail, sitakikulipia service ya bulk...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tuna wasomi wengi sana wa sayansi na uhandisi. Je hakuna namna ya kuchanganya udongo au changarawe na kitu fulani ili kuondoa kusagwa na magurudumu na kutoa vumbi ambalo linaathiri mazingira...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa mtu anayeweza kusolve ilo tatizo kila nikijiunga inakataa wanajibu hivyo kama nilivyotuma. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Hellow nina simu spack 8c inakamata 4G kwa voda bila chenga pia nina spack 7 yenyew haikamati 4G japo inasapot 4G happ shida ni nini. Wazee ma lain zote no 4G pamoja na simu. !
1 Reactions
4 Replies
481 Views
Habarini wakubwa, Napenda kuuliza kuwa ukiwa unamiliki application ya simu mfano hii jamii forums. Mwanzilishi au muhusika/mmiliki wa app hiyo anapata faida zipi, na kama mapato anapataje...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimetumia neno UPDATE kwenye heading sababu wengi ndio tumelizoea, lakini hasa nitazungumzia UPGRADE. Japokua vyote vinalenga katika kuleta mabadiliko kwenye kifaa chako(hapa nitazungumzia simu...
38 Reactions
45 Replies
10K Views
Back
Top Bottom