GoldenDude
Member
- Jan 14, 2021
- 19
- 14
Habari za muda huu wanajukwaa, bwana nimefuatilia galaxy note 8 nimefurahisha na specifications zake. Dual camera, big screen size, high ram and other premium features, lakini kinachonipa wasiwasi ni battery ni 3300 mAh sijui kama ina drain faster naomba ushauri kwa alie wai kutumia mzigo, na pia nataka kujua madhara ya simu ambayo haipokei update tena.. Nawasilisha