Habari za wakati huu wakuu, naomba kuuliza Kwa mwenye ufahamu na Swalla hili.
Juzi kati nilikutana na link mtandaoni wanauza simu, computer pamoja na bidhaa nyingine za kieletroniki, nikajaribu...
China's Xiaomi Leads Asian Low-Cost Smartphone Drive
Agence France-Presse, May 12, 2014
inShare1
Xiaomi may be little known outside China, but the fast-growing smartphone maker is...
Naombeni msaada, Nina simu aina ya AQUOS zero 801SH, nadhani Kuna settings nilifanya bila kujua, Sasa hivi nikiwasha data simu inakuwa inajirestart mara Kwa mara, mpaka inaboa. Naomba mwenye ujuzi...
Wakuu kwema,
Nina samsung a20s nimeitumia kama miez 3 sasa nikaona niireset ianze upya tena coz ilikuw na vitu vingi
Sasa kimbembe kimekuja baada ya kereset, haisomi laini inaandika emergency...
Habari za siku wakubwa. Naombeni mnishauri nina bajeti ya 450k nichukue simu gani kwenye Brand kati ya Samsung na nyinginezo na brand ipi Samsung ni the Best?
NB: Sihitaji iPhone
Heshima kwenu wakuu.
Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia.
Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani...
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Tsinghua cha Nchini China ikishirikiana na Kituo cha Kupambana na Magonjwa nchimi humo umebainisha virusi hivyo hubadilisha harufu ya binadamu na panya...
Kwa hapa nchini. Au mpaka kuagiza? Naona features&specifications zimenivutia.
Screen kubwa 6.8
Battery kubwa 5000 (japo charger watts ndogo)
Storage na RAM
Muundo wake unavutia. Nn.k
Sasa naomba...
Tumekuandalia saketi bora ikiwa na sifa zifuatazo.
Inatengenezeka kirahisi sana kwani haina mavitu mengi kama zile za mchina.
Ina nguvu ya kutosha kama ni 200 watts basi ni kweli kabisa
Tunapokea...
Habari wakuu..natafuta housing,keybord ikiwezekana na battey za Laptop aina ya Fujitsu lifebook T5010.Kwa yeyote atakayeweza kunipatia au kama unajua ambapo naweza kupata,natanguliza shukrani.
Najua kuna umuhimu mkubwa sana wa kulinda simu kwa password sio kwa WEZI tu ila kulinda data zangu pia.
Ila niwape taarifa wezi wote wa simu kwamba, mkiiba simu yangu hamtapata shida ya kwenda...
Salamu zangu ziwafikie wote walio jaliwa afya njema na pole kwa ndugu zangu wanao pitia wakati mgumu kiafya hasa wenye homa kali na mafua.
Niende kwenye mada nisiwachoshe Sana ndugu zangu...
Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university.
Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule...
Wanasayansi wa China wamejisifu ktengeneza super computer ambayo ina akili bandia na uwezo sana na akili ya mwanadamu.
Komputer hiyo ina storage na memory ya kutosha. Na wengine mmezoea quad...
Habari wanajamvi, nina TV pamoja na desktop computer, nikiunganisha vifaa hivi kwa kutumia HDMI Cable, nina uwezo wa kutumia TV kama monitor, ila sasa mtihani ni kuwa nahitaji pia vile vile kuona...
Habari,
Naitaji kufaham jinsi ya kupata access ya API ya NECTA ili kuweza kuverify index number ya mwanafunzi au utaratibu wowote au mwenye nazo anaweza kushare.
Asante!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.