simu yangu kunaa baadhi ya text haisomi inaaleta alama hizi,nimejaribu ku updade lakini tatizo bado ni lilelile,nifanyeje
Simu samsung galaxy j7 prime.
(NB: UKITUMIA DAKIKA 7 KUTULIA NA KUSOMA NAKALA HII MPAKA MWISHO, UTAKUWA UMEONDOKA NA JAMBO KUBWA SANA LA KUBADILI BIASHARA YAKO MTANDAONI)
Moja ya sababu kubwa website nyingi za biashara...
Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop.
Tunawezaje kutatua...
Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo
Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16
Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi...
Habarini za jioni ndugu zangu!
Nimekuja na uzi huu maalumu kwa "Save for Save" huu ni mtindo unaotumika kuunganisha watu mbalimbali kuwa karibu hasa katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp, ambapo...
Habari za kazi wadau, naombeni mnifahamishe nitakapopata thin clients za ncomputing nazihitaji kwa ajili ya business yangu ndogo. Nimezichagua hizo coz naona zitakuwa less expensive and easy to...
Wakuu naomba kujua uhalisia wa bei za simu used Zanzbar, maana nikiangalia kwenye page mbalimbali insta bei yake ndogo Sana mfano Samsung s10+ kwa laki nne. Nilipouliza page moja utaratibu...
Habari za asubuhi wakuu! Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, kwa yeyote mwenye link ya gb whatsapp new version naomba anisaidie tafadhali maana whatsapp yangu ime expire kitambo kidogo...
Wakuu habari za jioni
Laptop aina ya dell nilikuwa nabadili windows,kutoka window7 kwenda window 10.
imepotelea hatua Baada ya kubonyeza boot key,nika select usb storage kama kawaida,baada ya...
Husika na kichwa habari hapo juu.
Natafuta hiyo generator isiyotumia mafuta, Kama kuna fundi anaeweza kutengeneza tuwasiliane. Naona India wanazitengeneza nafikiri hata hapa nchini pengine wapo...
Napenda kuuliza ,mimi nimeingia mkataba na google adsense kutangaza matangazo kwenye blog yangu,na nimeshafikisha dolla 10,wamenitumia pin code,zitachukua siku ngapi kufika Tanzania kwa...
Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet..........
Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa...
Habari za majukumu ndugu zangu.
Nimepewa kazi na shule X, niwatengenezee mfumo ambao wao wataweza kuapload notes matokeo n.k.
Lakini pia mwanafunzi awe na uwezo wa kuingia kukoment na kupakua...
Habari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
Naombeni msaada wa kurudisha whatsapp app kwenye simu yangu.
Nilibadili number ya account kwa makosa na nilipojaribu kuirudisha tena ikakataa, option niliyoifanya ni ku-uninstall whatsapp ili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.