Msaada: Nataka kutuma email moja kwenda kwa email addresses 10000+

Saa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
6,553
Reaction score
12,999
Wajomba na mashangazi habari zenu, nipo hapa kuomba msaada wenu.
Nataka kutuma email zaidi ya elfu kumi kwa nyakati tofauti ndani ya mwaka mmoja nikitumia Gmail, sitakikulipia service ya bulk emails.

Swali kwenu wakuu, nitumie njia gani kwenye kutuma izi emails bila ya kuishia kwenye spam folder za wapokeaji?
 
Ok, Mr Ikwechukwu Ozeangonye from Anambra State Nigeria
 
Wajomba na mashangazi habari zenu, nipo hapa kuomba msaada wenu.
Nataka kutuma email zaidi ya elfu kumi kwa nyakati tofauti ndani ya mwaka mmoja nikitumia Gmail, sitakikulipia service ya bulk emails.

Swali kwenu wakuu, nitumie njia gani kwenye kutuma izi emails bila ya kuishia kwenye spam folder za wapokeaji?
Kunae python program nilitengeneza ya Kutuma hizo emails ngoja niangalia kama still inawork nikupatie
 
Still will end up in sparm...and probably zikaishia kwa Mail-gateway zisiwafikie ht walengwa.
mkuu unashauri batch moja maximum iwe na emails address ngapi? Ili zifike to inbox na siyo spam
 
Back
Top Bottom