Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,263
- 2,994
Kuna mistari inatokea kwenye display (monitor), mistari hiyo inakuwa na rangi ambayo hujaa nusu ya kioo cha monitor Kwa wima (vertical lines).
Nimejaribu google wanasema ni graphic drivers au display drivers; but nimejaribu ku-update drivers zote za pc lakini tatizo bado liko vile vile.
Nimekuja kwenu mafundi wa software au hardware. Nawezaje ku-fix tatizo hili? Angalia picha hapo chini[emoji116][emoji116]