Msaada kwa jambo hili....

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,348
1,803
Habarini wakubwa,
Napenda kuuliza kuwa ukiwa unamiliki application ya simu mfano hii jamii forums.
Mwanzilishi au muhusika/mmiliki wa app hiyo anapata faida zipi, na kama mapato anapataje?

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom