Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari, Wadau naomba mwenye elimu ya kuzuia message zisionekane kwenye group maana nina group nyingi sana mpaka za kanisa lakini ni fujo nyingi sana nataka kuzuia popup kama kuna new message ili...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ikitokea umeingia google na kuandika " how to know or how to tell if my computer has been hacked" utapata machapisho mbalimbali zaidi ya milion 35.7 juu ya kile ulichouliza ". hapa Tunajifunza...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
SABC channel package 68.5E ku working well via Satstar Decoder now
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana jf, Kama title inavyojieleza. Account yangu ya twitter ilifungiwa kwa muda usiojilikana na nikatumiwa ujumbe kuwa "your account has been permanently suspended". Kwamba inaonekana...
1 Reactions
6 Replies
532 Views
Nina simu tajwa hapo juu ina tabia ya kujipunguza sauti kila siku, hivyo nalazimika kila siku asubuhi kuiongezea sauti na hii imekuwa ni kero sana, je tatizo litakuwa ni nini? Natanguliza shukrani
1 Reactions
1 Replies
814 Views
Na ombeni ushauri kuhusu water supply and sanitation engineer
0 Reactions
2 Replies
626 Views
Wakuu naomba kupatiwa steps za ku-assemble & install printer tajwa hapo juu,nimejaribu kugoogle lakini naona sijafanikwa.Msaada unahitajika haraka sana Asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika. Mtu akipiga ina ita...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani naomba kufahamu kitu hivi Kama Nina simu yangu charge yake OG inaoutput ya 5V----1A na betri lake Ni 2000mAh na huwa inatumia almost two hours kujaa. Je, nipata tatizo endapo nitatumia...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wataalam habari,poleni kwa mishemishe za town..!! Naomba msaada wa app mzuri ya kudownload movie yoyote kwny cm za android
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu wa Jukwaa. Leo ninaomba kushare vitu vichache kuhusu vioo vya simu tunazonunua. Sometimes inaweza kua applicable katika Tablets au Phablets (Between Phone and Tablet). Nisipoteze...
12 Reactions
41 Replies
10K Views
Habarini za jioni, Naombeni msaada kidogo katika hili. Kuna kipengele kimoja katika "Python programming language" kinaitwa "Regular Expressions".Hiki kipengele kinanichanganya kiasi katika...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu. "Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Leo Kwa bahati mbaya Nimepasua Kioo Cha TV Yangu Hisense Inch 32 Nipo Njia panda Je kunaunafuu wa Kubadilisha kioo au Ninunue Nyingine
4 Reactions
28 Replies
8K Views
Wataalam wa camera kati ya izi camera mbili Nikon d 7200 Na Nikon d 800 Ipi ni nzuri kwa picha na video.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau Leo naomba mnisaidie tunajifunza kuwa Dunia inazunguuka kwenye mhimili wake lakini pia inazunguuka jua... Kama ni hivyo mbona ukifunga dish huku Duniani na satellite huko angani.. Kama Dunia...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Umeshawahi kujiuliza kuhusu satellite [emoji341] kwenye huu ulimwengu wa dunia ni Nini ? [emoji848] Najua watu wengi mlikua hamjui angani Kuna zaidi ya satellite 6542 zilizo active ni 3372 wakati...
6 Reactions
8 Replies
5K Views
Ndugu wana jamvi, Naombeni kujua vyuo vinavyotoa kozi za ict ngazi ya certificate au diploma kwa hapa tanzania ,kwa njia ya mtandao. Nb.nina bachelor katika fani nyingine,o level nina C ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Umefuta Message kwa bahati mbaya ?? Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stress🤔? Hapana! Kuna mbinu...
4 Reactions
9 Replies
6K Views
Internet Explorer ya Microsoft inafungwa kabisa kuanzia tarehe 15 mwezi Juni.
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom