Cursor ya mouse ina move yenyewe

Cursor ya mouse ina move yenyewe

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
46,204
Reaction score
90,607
Wajuzi wa mambo nafanyaje kutatua hili tatizo la cursor ya mouse kutembea yenyewe? Nime update avast antivirus na kiscan system nzima laki wapi
 
Wajuzi wa mambo nafanyaje kutatua hili tatizo la cursor ya mouse kutembea yenyewe? Nime update avast antivirus na kiscan system nzima laki wapi
Kuna mambo mengi sana yanaweza sababisha hii kitu fanya kwanza yafuatayo:-
1) Badilisha port ya USB
2) Kama Kuna kitu kingine umechomeka kwenye USB toa acha mouse pekeyake then ucheki.
3) Cheki surface ya ulipoweka mouse pawe flat kabisa.
4)Update drive za mouse
5)Badilisha window
6)Kama haya yote hayajasolve tatizo change your mouse.
 
Mara nyingi ni adapter,moto unaoingia unakua na kasoro,chakufanya, disconnect adapter yako kweny kichwa chake kile kisha ichomeke vizur kusiwe na loose connection,kisha jarbu ku connect kwenye PC yako,kama tatizo litaendelea basi badilisha adapter weka mpya..
Pia kujiridhisha angalia mouse inasumbua wakat pc iko connected kweny power au bila hata kua connected kweny power.

Kama tatizo litakua bado fuata hatua za mdau Hapo juu
 
Back
Top Bottom