MTN from Rwanda

MTN from Rwanda

usatz

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
96
Reaction score
45
Wakuu niko Dar nataka kuwa na Sim Card ya Rwanda MTN, Naipataje mwenyewe connection
 
kuna kitu kinaitwa roaming, ukienda kwenye setttings za data ya simu yako utaona hio option, regardless na toleo lazima hicho kitu kiwepo, ni option ya kutumia kampuni nyingine za simu ukiwa nchi tofauti na uliponunua laini au connection inakotolewa, kwa tz najua wanafanya roaming na airtel plus voda sina uhakika sana na Tigo pamoja na wengine, changamoto itakua kwenye kununua airtime/recharge yake itabidi uwe na mtu anakununulia salio or uwe unanunua online or uweke hela kwanye laini yake like mnt money then unanunua from there, cost kubwa inakua kwenye calls, kwakua inakua between borders so charge ya calls inakua juu sana ni sawa na kupiga internatial ingawa kuna some bundle wameziweka za east africa unaweza pata unafuu.
 
Back
Top Bottom