Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu TV yangu ni smart TV brand ya vitron 32" Ila Bluetooth haina, naomba kujua kama kuna kifaa naeza kutumia kupata connection ya Bluetooth kwenye TV kwenda kwenye soundbar/sabufa Sent from my...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
[emoji2923] Save 100+ hours on researching webflow.com [emoji821] The modern way to build for the web with No Code. Price: Free [emoji389] Webflow: The no-code platform for web design and...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hizi simu bongo dukani ni sh ngapi wajameni Hii Simu ninaitafuta Sana
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari, nipo dar na nilikua nahitaji huduma ya internet , kwenye internet cafe ila iwe na speed nzuri na mazingira yawe mazuri.. 20mbps to 100mbps. Asante
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa timu ya mawakili wanaomuwakilisha Elon wamedai kubaini Mahakama haitokuwa na uamuzi mzuri upande wao hivyo wanaridhia kuinunua Twitter ili kumaliza kesi. Twitter imethibitisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu baada ya kutumia Android go kwa miaka mingi kidogo Sasa nataka walau nipate hata hii simu niliyo weka hapo juu ambayo Ina real android. Hivyo ninawaomba member nipatekujua walau Bei ya...
0 Reactions
12 Replies
787 Views
Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu...
3 Reactions
7 Replies
58K Views
Natumia turbo vpn duration yake ni wiki moja for free so naomba mwenye kujua ambayo ni free total na yenye kasi nzuri, ni hayo tu wakuu uchaguzi huu umetufunza mengi.
8 Reactions
93 Replies
22K Views
Jamani nimekutana na hii kitu huko fb je ina ukweli wowote au ndo nataka kupigwa?
0 Reactions
7 Replies
706 Views
Iwe ni chaji iliyokuja pamoja na simu au ulinunua baada ya kupoteza au ya kwanza kufa, wengi huwa tunazingatia amps, volts, na watts kujua kama chaji hiyo ni fast charger na kama inafaa kwenye...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu zangu naombeni anaye jua jinsi ya kubadili font za hii app ya sport pesa ziwe za kupendeza anisaidie maana Kila nikidowload app nikibadili inagoma sijui nitumie app gani?
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Ndugu wanajopo, Kuanzia juzi hadi sasa sijaweza kuingia menu ya MPESA inayofunguliwa kwa code hii *150*00#. Kikawaida nikibofya, ninapata maelezo haya: "USSD code is running" kisha menu...
0 Reactions
6 Replies
927 Views
1. Kwanza kuwa mpole, wala usipanic code zikizinguwa, hii ni kawaida. 2. Usiwaze kutengeneza app kubwa saaanaau yenye mambo mengi mapema. 3. Kutengeneza app ni kama ujenzi, usiwaze saaana kwamba...
1 Reactions
1 Replies
613 Views
Kama kichwa hapo juu natamani sana maelezo ya moja kwa moja sio mzuri sana kwenye kuchagua kama unaona ushawahi pata mashine nzuri kwa hiyo budget unaweza share nasi nipo mbeya kwa mwenyeji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapendwa, najua mchezo huu vijana wengi sasa hawaufahamu, hivyo katika private project yangu ya AI (Artificial Intelligence) nimeamua kuchagua mchezo wa bao kutengeneza simple game ambalo mchezaji...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!! Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Inaonekana ni ngumu sana kwa hii mitandao kuwa na idea za utofauti ambazo hazifanani na platform nyingine; sijui ni uzembe wa kubuni idea mpya au idea mpya zimeisha. Twitter imetangaza mabadiliko...
2 Reactions
7 Replies
726 Views
Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China...
1 Reactions
1 Replies
725 Views
INVESTIGATIVE RESPONSES (E-MAIL TRACING) E-MAIL is the most common security vulnerability. It is a virtual door that leads directly into the network and indirectly into every desktop. It...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom