Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

NAOMBENI MSAADA WAKUU. Natanguliza shukrani. Habari ya Weekend? Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5. Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA...
0 Reactions
8 Replies
885 Views
Habari wakuu, Naomba kusaidiwa imetokea nimefuta chatting zangu zotee za WhatsApp ambazo baadhi zilikuwa na umuhimu sana na nilikuwa nikizitumia kama kumbukumbu incase zikihitajika mfano...
1 Reactions
6 Replies
862 Views
Hii Slot nimeona kwenye TV Yangu Aina ya LG Lakini Hadi Sasa Sijajua Matumizi Yake Wenye Ufahamu ni Slot ya PCMCIA Atupe Muongozo
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimenunua Infinix smart 6 ya 2/64GB pamoja na kujaribu kufanya settings ili ikae 4G Haikubali ,sijajua nifanyeje ingawaje ndani ya Simu inaonekana inayo 4g kubwa zaidi laini zangu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kampuni ya electroniki Sony wako makini sana kwenye bidhaa zao. Japo situmii simu ya Sony kutokana upatikanaji wake lakini ninapenda sana apps zake mbili. Yaani Gallery yake na kicheza musiki...
6 Reactions
83 Replies
9K Views
Wakuu! Nilikua naomba kujua ubora wa hii simu [Nothing phone 1] ukilinganisha na A51
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kwa android app. Ni alternatives zipi za kuchapisha na kupakua apps?
0 Reactions
4 Replies
610 Views
Poleni na majukumu.. Wadau bila shaka baadhi yenu mnatumia hizi flat screen za Moelectro, naombeni kujuzwa ubora wake.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Je ni apps gani bora ya kuplay music offline yenye Equalizer nzuri kwa simu janja kati ya hizi Poweramp Music Player, N7 player, NRG player & Jet audio player!!? Kwangu poweramp music player...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja. Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Natafuta Flutter App developer wa kutengeneza 1. Main App 2. Partners app 3. Admin panel Hzo app mbili (moja ni kwa ajili ya users, yapili ni kwa ajili ya Partners , kama Uber...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello bosses..... Kwanza niseme tu mimi ni tech enthuasist, napenda tech zaidi ya kitu chcht duniani hapa. lkn sipendi kuona watu wanashabikia hizi technology trends hadi wakazidiwa na kuacha...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, Aisee niende kwenye swali. Ivi kati ya Programmer na IT yupi mwenye fursa nyingi za kujiajiri na kuajiriwa, na endapo wataajiriwa yupi ambae atapokea kiasi kikubwa cha mshahara kupita...
4 Reactions
84 Replies
15K Views
Naona Kuna mabadiliko karibia Kila mtandao Kwa Sasa huwezi kupata hata GB 1 Kwa elf 2, mambo ni fire 🔥 sio kitoto. Kwa upande wetu tulioingia Ile mikataba minono ya post paid tulikata bima ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani Mimi sielewi kwanini tuna wekewa huduma ya 5G wakati hata hatujafikia asilimia 90 ya watanzania wanao miliki simu TANASHATI (smartphone). Pia wengi hatujui madhara ya RADIO FREQUENCY...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
2 Reactions
79 Replies
14K Views
Nimeamua kuanzisha group ili liwe msaada kwetu mafundi na wateja kwa pamoja.ili litakua group la kusaidiana kutatua matatizo ya kiufundi na ushauri vifaa vinapopatikina kwa urahisi ila la...
0 Reactions
5 Replies
622 Views
Niko na simu hapa nataka kui remove screen lock mbaya zaidi button zake za volume up na down zmeharbika ningeweza kuiformat. Katika pitapita zangu huko YouTube nikaona wahindi wanatumia MTK...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana teknolojia. Naomba mwongozo hapa na hints za kufanikisha kuweka matangazo kwenye application App yangu ni hybrid( ni web view mobile application) mpaka sasa ina namba of downloads...
1 Reactions
3 Replies
593 Views
Back
Top Bottom