Bei na upatikanaji wa Nokia C100

Bei na upatikanaji wa Nokia C100

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
921
Wakuu baada ya kutumia Android go kwa miaka mingi kidogo Sasa nataka walau nipate hata hii simu niliyo weka hapo juu ambayo Ina real android.

Hivyo ninawaomba member nipatekujua walau Bei ya simu hiyo
 
Hio simu ina Helio A22 hata kama itakuja na Full android mkuu perfomance haitakuwa nzuri. Bei halisi ya hio simu ni around 150k mpaka 200k. Sijajua huku kwetu kama zipo na bei ipoje.
 
Kwahio bei bora achukue vivo y01 kwa 240k au redmi 10a kwa 250k hizo atapata mpya Au anunue oppo a57 used kwa 140, or sony xz1 compact kwa 140 used
 
Xz1 compact simu kali sana kama unaipata katika hali nzuri. Bootloader yake kutoa lock ni around 60k to 70k, ukiweka lineage os mpya una simu nzuri tu.
 
Kwani huwa zinakuja zimelokiwa?
Hazina lock ya simu, unapiga mitandao yote, ila zina lock ya bootloader hivyo huwezi kuroot, kuweka custom rom etc. Xz1C mwisho ni Android 9 pie, ukitaka kuweka android 10,11, 12 etc inabidi utoe lock ya Bootloader kwanza.
 
Sawa kiongozi, ila kwa mtumiaji wa kawaida ipi tofauti ya android 9 na 12? Mbona kwenye matumizi sioni tofauti?
 
-Android 12 ina muonekano tofauti, unaitwa Material you ambayo una customize unavyotaka mwenyewe,

-Android 11 ina wireless Adb inayokuwezesha kutumia app kama Shizuku kuzipa app nyengine layer kama ya root, inasaidia vitu kama Backup, customization apps, ku uninstall bloatware etc.

-Chat bubble kama facebook messenger sema inakuwa system wide mpaka app nyengine.

-notification History, hii inasaidia ukiswipe notification bahati mbaya

-built in screen recorder, huna haja kudownload app.

-kwa wenye Magari Android Auto imekuwa wireless kuconect simu na Gari linalosupport. Etc

Pia kunakuwa na under the hood features vitu kama security, Api mbalimbali kwa developers etc,

Na Android 13 inakuja na VM features unaweza ukainstall os yoyote kwenye virtual machine.
 
Heee..... Nadhani hiyo ni kwa developers mimi hivyo vyote sivitumii, kweli huenda nina matumizi kidogo sana ya simujanja
 
-Android 12 ina muonekano tofauti, unaitwa Material you ambayo una customize unavyotaka mwenyewe,

-Android 11 ina wireless Adb inayokuwezesha kutumia app kama Shizuku kuzipa app nyengine layer kama ya root, inasaidia vitu kama Backup, customization apps, ku uninstall bloatware etc.

-Chat bubble kama facebook messenger sema inakuwa system wide mpaka app nyengine.

-notification History, hii inasaidia ukiswipe notification bahati mbaya

-built in screen recorder, huna haja kudownload app.

-kwa wenye Magari Android Auto imekuwa wireless kuconect simu na Gari linalosupport. Etc

Pia kunakuwa na under the hood features vitu kama security, Api mbalimbali kwa developers etc,

Na Android 13 inakuja na VM features unaweza ukainstall os yoyote kwenye virtual machine.
Hadi window os
 
Hazina lock ya simu, unapiga mitandao yote, ila zina lock ya bootloader hivyo huwezi kuroot, kuweka custom rom etc. Xz1C mwisho ni Android 9 pie, ukitaka kuweka android 10,11, 12 etc inabidi utoe lock ya Bootloader kwanza.
Hivi haiwezekani kuweka rom za simu flani kwenye simu zingine?mfano xperia xz1 ukaweka custom rom za redmi?
 
Kama mtu ameiport inawezekana ila ndio bootloader iwe imefunguliwa na most of time utajitaji root na custom recovery.
 
Back
Top Bottom