Msaada wa VPN ambayo ni free na strong

Suluhisho siyo VPN.Kwanza kutumia VPN Tanzania ni kosa la jinai.Serekali ya CCM chini ya Magufuli tayari ilishatunga sheria ya kukataza matumizi ya VPN Tanzania.Magufuli anasubiria aapishwe afute internet pamoja na matumizi yote ya mitandao ya kijamii Tanzania.Suluhisho pekee ni kuitoa CCM madarakani kwa jasho na damu.
43890980.jpg
 
Suluhisho siyo VPN.Kwanza kutumia VPN Tanzania ni kosa la jinai.Serekali ya CCM chini ya Magufuli tayari ilishatunga sheria ya kukataza matumizi ya VPN Tanzania.Magufuli anasubiria aapishwe afute internet pamoja na matumizi yote ya mitandao ya kijamii Tanzania.Suluhisho pekee ni kuitoa CCM madarakani kwa jasho na damu.View attachment 1616132

Na hiyo ndiyo VPN ya kudumu isiyokuwa na expiry date.
 
Nashukuru sana mkuu, nimekaa gizan bila net kwa siku ya nne sasa leo mpk alipokuja mwanangu flan hvi akanirushia hyo turbo kwa Bluetooth, so nikawa na wasi wasi vp mda ukiisha while net yetu inasumbua sumbua
Nyerere angekuwapo asingekubaliana na upuuzi huu tunaoushuhudia.

Anyway, we shall not relent. Inshallah.
 
Take this... Free
 

Attachments

  • Screenshot_20201027-104921.png
    Screenshot_20201027-104921.png
    213.6 KB · Views: 65
Natumia turbo vpn duration yake ni wiki moja for free so naomba mwenye kujua ambayo ni free total na yenye kasi nzuri, ni hayo tu wakuu uchaguzi huu umetufunza mengi.
Tengeneza account ya L2PT au PPTP utumie kwenye simu yako mwenyewe kwenye built-in vpn ya simu huna haja ya kudownload vpn app, ina speed nzuri sana ndo natumiaga mimi...
Screenshot_20201031-104956.jpg
Screenshot_20201031-104725.jpg
 
Back
Top Bottom