teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 136
Jamani nimekutana na hii kitu huko fb je ina ukweli wowote au ndo nataka kupigwa?
View attachment 2376823View attachment 2376822
Unapewa na Stendi ya ukutani buru.
Waambie wakuletee hadi home unalipa nusu kabisa, hapo ndio utapata Jibu.Jamani nimekutana na hii kitu huko fb je ina ukweli wowote au ndo nataka kupigwa?View attachment 2376824View attachment 2376823View attachment 2376822
Ndio maana nikashtukia, bei zao ziko chini ya zinavyouzwa madukaniKitambulisho cha "KULA".........Jichanganye uone