Msaada wakuu mtu amehack simu yangu

Mwanamwaiche

JF-Expert Member
Apr 13, 2022
668
944
Naomva msaada wenu wataalamu wa haya mambo. Kuna mtu anapata meseji zangu ninazo wasiliana na watu iwe kwa WhatsApp au kawaida ila hajawahi kushika simu yangu hata kwa sekunde moja.
Umejuaje?, *#62# try this for a thorough proof, then tumia simu ya mtu mwingine screen shot majibu rusha picha ntakujibu nikiona picha.
 
WAZO2010

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,129
2,726
Hii inatokea hasa ukipata demu ambae anawachanganya na hawa wafanyakazi wa Voda, Airtel, Tigo, Halotel, nk. Huwa wanafuatilia ni namba zipi demu wake huwasiliana nazo sana. Hivyo kuzi track. Ni wapuuzi sna
Kuna mjinga 1 wa Voda aliwahi niletea huo Ujinga. Nika mpiga beat demu aka msema. Afu nika chukua namba yake nika mtumia SMS tukutane kwa Boss wako mjinga wewe. Alio gopa. Toka siku hiyo hakurudia tena. Siyo maadili ya kazi mfanyakazi wa mtandaoni kutumia nafasi yake ya kazi kuingilia mawasiliano ya mtu.
 
Brian Spilner

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
1,621
4,847
Hii ina tokea hasa uki pata demu ambae ana wachanganya na hawa wafanyakazi wa Voda, Airtel, Tigo, Halotel, nk. Huwa wana fuatilia ni namba zipi demu wake huwasiliana nazo sana. Hivyo kuzi track. Ni wapuuzi sna

Sio watu wa mtandao
 
Brian Spilner

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
1,621
4,847
Naomva msaada wenu wataalamu wa haya mambo. Kuna mtu anapata meseji zangu ninazo wasiliana na watu iwe kwa WhatsApp au kawaida ila hajawahi kushika simu yangu hata kwa sekunde moja.
Kama anapata mpaka msg za whatsapp basi hajapitia kwa service provider. Kwa service provider yaani hawa wakina tigo, voda n.k, whatsapp inakua unreachable.

Kwa lugha rahisi, humo kwenye simu yako imewekwa third party app inayorekodi mazungumzo yako yote, mpaka ya sauti, ukiwasha data inayaupload mahali flani, huko ndiko anakoyapatia.

Nimeukumbuka ujana
 
Kelsea

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
9,930
21,430
Hii ina tokea hasa uki pata demu ambae ana wachanganya na hawa wafanyakazi wa Voda, Airtel, Tigo, Halotel, nk. Huwa wana fuatilia ni namba zipi demu wake huwasiliana nazo sana. Hivyo kuzi track. Ni wapuuzi sna
Kuna mjinga 1 wa Voda aliwahi niletea huo Ujinga. Nika mpiga beat demu aka msema. Afu nika chukua namba yake nika mtumia SMS tukutane kwa Boss wako mjinga wewe. Alio gopa. Toka siku hiyo hakurudia tena. Siyo maadili ya kazi mfanyakazi wa mtandaoni kutumia nafasi yake ya kazi kuingilia mawasiliano ya mtu.
Ni kwa namna gani utajua kama simu zako zinafuatiliwa?
 
KweliKwanza

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,500
2,774
Kuna aina mbili ya watu wanaoweza kufanya hvyo, police na watu wa mitandaoni, police huwa na ukaribu na watu wa mitandao na pia watu wa mitandaoni mfano voda au tigo wanakuwa na access.

Kuna mwana alikuwa anamtafta jamaa flan hv alimpiga kizinga alifatilia mawasiliano ya huyo jamaa yote mpaka ya mm nilivyowasiliana nae, na sio txt tu, balia ata maongezi kabisa wanasikiliza.

Kwa whatsaap hawawezi, labda alipata idea ya vitu mtavyorushiana whatsaap kupitia normal calls au txts
 
Lucky93

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
374
758
Kuna aina mbili ya watu wanaoweza kufanya hvyo, police na watu wa mitandaoni, police huwa na ukaribu na watu wa mitandao na pia watu wa mitandaoni mfano voda au tigo wanakuwa na access,
Kuna mwana alikuwa anamtafta jamaa flan hv alimpiga kizinga alifatilia mawasiliano ya huyo jamaa yote mpaka ya mm nilivyowasiliana nae, na sio txt tu, balia ata maongezi kabisa wanasikiliza
Kwa whatsaap hawawezi, labda alipata idea ya vitu mtavyorushiana whatsaap kupitia normal calls au txts
Kwa WhatsApp nishajua tayari alipataje meseji zangu.. kwa meseji za kawaida nahisi kuna wafanyakazi wa hizi service providers voda, halotel, tigo e.t.c ndio hua anawatumia. Mana simu yangu hajawahi kushika na nimeangali no call forward hapo mnanisaidiaje ndugu yenu
Screenshot_20220929-115232_Phone.jpg
 
Lucky93

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
374
758
Definitely ni hidden application inafanya kazi hiyo.
Unatumia simu gani?

Au restore to factory default kazi itakuwa imeisha.
Simu yangu haijawahi kuishika hata kwa sekunde moja mkuu, hiyo hidden app anawezaje kuweka bila kushika simu yangu?
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom