Ni Laptop (PC) gani nzuri naweza pata kwa budget ya laki 3?

fredyyboy

Member
Jan 26, 2021
23
40
Kama kichwa hapo juu natamani sana maelezo ya moja kwa moja sio mzuri sana kwenye kuchagua kama unaona ushawahi pata mashine nzuri kwa hiyo budget unaweza share nasi nipo mbeya kwa mwenyeji itakuwa vizuri ukanipa location napata wapi mashine nzuri.
 
Around laki 3 ukitafuta vizuri unapata core i5 gen ya 3/4.

Ama ukitaka haraka haraka unapata core i3 gen ya 2 mpaka 4.

Check discountkubwa naona wanazipost karibuni machine nyingi za i5 kwa 365,000
Sawa mkuu nimeipata HP core i3 4th ram 4 tatizo baada ya kuifungua nakutana Na HDD ya Toshiba

Sjui nshapigwa mkuu au Haina tatizo
 
Around laki 3 ukitafuta vizuri unapata core i5 gen ya 3/4.

Ama ukitaka haraka haraka unapata core i3 gen ya 2 mpaka 4.

Check discountkubwa naona wanazipost karibuni machine nyingi za i5 kwa 365,000
Kikubwa nakushauri nunua laptop za mtumba achana na haya mamichina ya dukan yanayo ng'aa ng'aa HAKUNA cha TOSHIBA , DELL , HP,LENOVO wala nini ukiligonga gonga ni miplastiki tu kama vyombo vya cello ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† ni majina tu lakin ndani ni kitu kimoja ni uchafu mtupu siku chache tu lock za display zinakatika kioo hakijiwezi tena laptop imeandikwa kabisa sell in MEA ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Hizo za mtumba zinapatikana wapi mkuu?
 
Sawa mkuu nimeipata HP core i3 4th ram 4 tatizo baada ya kuifungua nakutana Na HDD ya Toshiba

Sjui nshapigwa mkuu au Haina tatizo
Hapo utakuta Ram ya Kingstone,..
processor katengeneza intel..
Display imetoka kwa samsung..
battery kutoka Shenzhen lepower electronics,..
OS from Microsoft, motherbody ya GIGABYTE .
 
Hapo utakuta Ram ya Kingstone,..
processor katengeneza intel..
Display imetoka kwa samsung..
battery kutoka Shenzhen lepower electronics,..
OS from Microsoft, motherbody ya GIGABYTE .
Ni kawaida HDD hazina shida ni kawaida kukuta pc ni toshiba ndani ina HDD ya segate au hitachi na kama mtumba huwa haziji na HDD hivyo huwa zinawekwa huku huku.

Lakini pia vifaa vingi vya electronics huwa manufacturers wana share technology kuna vifaa vingine huwa wanachukua kwa wazalishaji wengine ndio maana unaweza kukuta vifaa vya ndani vinatoka france,japan ,china italy lakini product ni ya marekani.
 
Kwa msaada wa wengi, laptop bro, kwa Dar.
Kwa mtumba hao Discountkubwa, sema ni hit and miss si muda wote wana mali nzuri. Ila wakiwa na mzigo mzuri hizi gen za zamani 2nd mpaka 4th ni chini ya laki 4.

Wana page fb unaweza kuwa unapitia mara kwa mara.

Maeneo mengine ni mtaa wa uhuru na swahili mpaka uhuru na likoma, then ile likoma unaenda nayo mpaka ule mtaa wa kanisa la KkKt kkoo, pia ukifika likoma na Agrey ukiingia kushoto kuna jengo moja linaangalizana na mkombozi bank jengo lina pc nyingi sana.

Kwa budget yoyote chini ya laki 4 tafuta gen ya 2, 3 ama ya 4. Ukipata ya 4 ni nzuri zaidi.

Kwa budget ya 4 mpaka 6 tafuta gen ya 6 ama ya 7.

Budget ikushazidi laki 6 hapo tafuta gena ya 8 mpaka ya 10.

Ikifika laki 9 hapo anza kutafuta mpya core i3 za kisasa.
 
Back
Top Bottom