The way you drive and the condition of your car has an impact on the amount of fuel you use. Here are a few tips to help you save fuel and money.
1. Minimise your vehicle use
Vehicles are least...
Asalaam aleykum!
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Mnamo mwezi wa tatu mwaka huu 2021 baada ya kutafakari na kujiuliza mambo mengi kuhusu akili yangu na kugundua kwamba...
Wakuu hamjambo?
Mimi nilikuwa na kaswali kadogo tu je kwa wale mliowahi kutumia simu za mfumo wa Non-Removable battery zinapochoka bater huwa zinabadilishwaje?
Changamoto zake zikoje maana simu...
Katika pitapita zangu instagram nimekutana na simu yangu pendwa tangu utoto samsung note 10+ ambayo wakati inatoka ilikuwa haikamatiki maana bei yake ilikuwa inaunguza mikono, leo nimeiona inauzwa...
Mimi nashangaa developers kudharauliana, sasa hivi kule Twitter wanasemwa sana WordPress developers, hamjui future trend ya programming ni kuwa few years to come (Mungu akituweka hai) basi...
Browser ya kuperuzi ya Google chrome inatumika na zaidi ya watumiaji Bilioni 2 ambao wanaitumia sana. Hivi karibuni kuna kesi inaendelea baada ya tetesi kuonyesha zaidi ya Watumiaji Bilioni 2 wa...
Kampuni ya spaceX inayo milikiwa na mtu namba moja tajiri duniani "Elon musk" kwa kushirikiana na NASA wamefanikiwa kurusha rocket yao ya falcon 9 kwenye mission ya CRS-26 Cargo ambayo rocket hiyo...
Profile visits ni idadi ya watu wanaotembelea ukurasa wako wa Instagram
unaweza kuangalia kupitia insights kufahamu kuhusu profile visits kupima maendeleo ya ukurasa wako
Ili kuwa na profile...
Nawasilisha Ndugu kutoka Katika Majukwaa Flani Flani Ya Kwamba Mwezi huu Adsense Hawalipi Mtonyo Mpaka Mwezi Ujao.
Kuna Ukweli Wowote wa Hii Taarifa Wanajamvi?
Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu...
Habari zenu wana tech, nipo hapa nimepata wazo nataka nifungue forum iwe kama JamiiForums ila tu utakuwa mahususi kwajili ya watu wanaotokea sehemu moja, kufanana interests, kufanya kazi /...
Leo nimetumiwa document ya muhimu sana toka benki fulani. Ajabu document ile kwa chini ina watermark ya CamScanner. Nikashangaa sana mtu hata document za muhimu bado anatumia CamScanner tena...
picha hii ni halisi imepigwa ndani ya lisaa limoja lililopita na chombo cha Orion spacecraft kilicho ruka na rocket ya mwezini kwenye mission ya Artemis I 🛰
Pichani hapo ni muonekano wa dunia...
Nashangaa sana kuona watu wanayopotoshana kwamba ujio wa starlink Internet hapa Tanzania ndio utakuwa suluhisho la unlimited internet ghali kama supakasi ya voda.
Kama hauwezi kumudu internet...