donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 16,561
- 20,265
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wengine kutokana na harakati zetu muda mwingine tunakosa wakati wa kukaa kwenye TV kuangalia mechi hivyo naomba msaada kwa anayefahamu sites ambazo naweza Nikafanya live streaming ya world cup matches for free. Natanguliza shukrani zangu za dhati.