Tovuti ya Wizara ya Elimu Tz imefanyiwa hacking tena..

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Wakuu kuna taarifa zinazozidi kusambaa 1438427296614.jpg1438427296614.jpgKuhusu hacking iliyofanywa na cyber hackers wa Morocco kwenye tovuti ya wizara ya elimu tz (moe.go.tz)

Labda nijarbu kuliweka sawa kidogo hili.. Hizo hacking zilizofanyika hapo ni za kizembe sana wamehack hiyo homepage pekee ambayo inapatikana kwenye directory (folder) linaitwa public_html .. Ningewaona wajanja kama wangefanya mysql injection yaani kuhack database na kupata administration permission kuedit, kudelete au kucheza na data zilizopo.. Waje niwarudishe shule hao wajinga.. Ila lawama za kipekee ziwaendee IT operators wa hizo tovuti ni uzembe wa hali ya juu kuachia hizo loop hores.. Sio mara ya kwanza kukumbwa na mikasa kama hii.. Inatokeaga pia tovuti ya Bodi ya mikopo n.k
Angalizo: kitu cha kwanza kuzingatia katika kazi za IT ni usalama wa taarifa zako na wengine unaointeract nao.
Nawasilisha..
 
hehe mkuu sio lazima kila hacker aingilie database kufuta data, wengine wanaona huruma tu, kufuta data kama zilizokuwepo MOE isingempa gain yoyote ile, na ni data ambazo zinawasaidia watu wengi tu, wakiwemo wanafunzi, only a stupid person atacheza na data kama hizo.

Usiwaite wajinga sababu hawajaingia kwenye database. Na kuweza kufanya SQL Injections sio kua expert kama unavohisi wewe, sql injections kitu rahisi tu anyone anayejua kumodel an sql database na any web programming language akiona sql injection anaelewa vizuri tu the entire concept, na siku hizi sql injections nyingi sana rahisi kuzizuia.
 
No. yaani ishu ni kwamba kama security zao zingekuwa makini wasingeweza kugain hata hyo access kwny hyo page moja ya mbele.. Sql injection ina uwanja mpana mzee usiichukulie poa kihivyo. Wameshindwa na ndio maana hawajafanya.. Sasa hao wamoroko na data za wanafunzi wa tz wapi nawapi hata kiswahili hawajui na ukichunguza vizuri utaona contents za moe.go.tz zimejaa uswahili mwingi.. Kuna programming languages ukicheza nazo vzr unaweza kuzilist tovuti zote maarufu duniani zenye hacking loop hores.. Kimbuka miaka ya hivi karbuni tovuti ya Angelina Jolie ilivyoingiliwa but wenzetu wapo mbele wanawahi kufanya backups..
 
Uzembe wa hali ya juu sana. Kuna wakati walishawahi kuhack website ya wizara ya mambo ya ndani kama sikosei.

Tatizo kazi wanapeana kwa kujuana na rushwa
 
Kuna wataalamu kibao wapo mtaani hawana ajira za kueleweka ila ujuzi na ufundi wao ni wa hali ya juu.. Ni wakati muafaka sasa wa kuwachukua hawa na kuwapa mafunzo maalumu na kuwaleta katika mfumo rasmi.. It Will really help.. Tupo katika kizazi cha dot com guys watch out!
 
Inashangaza sana siyo siri, na ukute tangu asubuhi ipo hivyo na hakuna wa kuirudishia fasta! aibu sana tovuti ya wizara ya ELIMU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
No. yaani ishu ni kwamba kama security zao zingekuwa makini wasingeweza kugain hata hyo access kwny hyo page moja ya mbele.. Sql injection ina uwanja mpana mzee usiichukulie poa kihivyo. Wameshindwa na ndio maana hawajafanya.. Sasa hao wamoroko na data za wanafunzi wa tz wapi nawapi hata kiswahili hawajui na ukichunguza vizuri utaona contents za moe.go.tz zimejaa uswahili mwingi.. Kuna programming languages ukicheza nazo vzr unaweza kuzilist tovuti zote maarufu duniani zenye hacking loop hores.. Kimbuka miaka ya hivi karbuni tovuti ya Angelina Jolie ilivyoingiliwa but wenzetu wapo mbele wanawahi kufanya backups..

to be elite, you have to do righteous hack
 
mie sio mtalAam, ila nauliza kama hari sasa hao IT hajarifanyia kazi, so wataalam wote walio hapajf nini mnaweza kufanya kuirudisha kama ilivyokuwa???
 
Wakuu kuna taarifa zinazozidi kusambaa View attachment 272857View attachment 272857Kuhusu hacking iliyofanywa na cyber hackers wa Morocco kwenye tovuti ya wizara ya elimu tz (moe.go.tz)

Labda nijarbu kuliweka sawa kidogo hili.. Hizo hacking zilizofanyika hapo ni za kizembe sana wamehack hiyo homepage pekee ambayo inapatikana kwenye directory (folder) linaitwa public_html .. Ningewaona wajanja kama wangefanya mysql injection yaani kuhack database na kupata administration permission kuedit, kudelete au kucheza na data zilizopo.. Waje niwarudishe shule hao wajinga.. Ila lawama za kipekee ziwaendee IT operators wa hizo tovuti ni uzembe wa hali ya juu kuachia hizo loop hores.. Sio mara ya kwanza kukumbwa na mikasa kama hii.. Inatokeaga pia tovuti ya Bodi ya mikopo n.k
Angalizo: kitu cha kwanza kuzingatia katika kazi za IT ni usalama wa taarifa zako na wengine unaointeract nao.
Nawasilisha..
Hello wataalamu. Ni nini hasa linakuwa lengo na faida anayopata hacker. Hasa mf hao ni morrocan hacker na Web ni ya Tanzania. Ahsante.
 
Ni fahari kufanya utundu ktk nyanja yako yani uki win unakuwa kama umewazidi akili kwa nchi za wenzetu watu hao wangepewa ajira kwa ajiri ya kulinda system za IT ...mataifa makubwa hutangaza dau kwa ataeweza kuchakachua let say site fulani atapewa hela na ajiri njia hii hufanya employer kupata compitent persons
 
exactly
 
mie sio mtalAam, ila nauliza kama hari sasa hao IT hajarifanyia kazi, so wataalam wote walio hapajf nini mnaweza kufanya kuirudisha kama ilivyokuwa???

Sisi tunaweza kutoa tu ushauri lakini kazi ipo kwao IT operators wao na ma administrators.. Kama wameajili vilaza.. Kazi kwao. 😉
 
Ni fahari kufanya utundu ktk nyanja yako yani uki win unakuwa kama umewazidi akili kwa nchi za wenzetu watu hao wangepewa ajira kwa ajiri ya kulinda system za IT ...mataifa makubwa hutangaza dau kwa ataeweza kuchakachua let say site fulani atapewa hela na ajiri njia hii hufanya employer kupata compitent persons

That's right!
 
Uzembe wa hali ya juu sana. Kuna wakati walishawahi kuhack website ya wizara ya mambo ya ndani kama sikosei.

Tatizo kazi wanapeana kwa kujuana na rushwa

Website kuwa hacked siyo uzembe ukumbuke "there is no total security in IT" ila unatakiwa kuwa vigilant muda wote anything can happen.
 
Lakini ungesoma kwanza comments za hapo juu nadhani tungeenda sawa.. Tunacho doubt hapa ni hizo hacking zilizofanyika ni za kizembe sana wamefanya kuupload index.php kwenye directory kuu hvyo vitu havihitaji hata mtu mwenye degree au certificate kuvidhibiti.. Vitu vidogo sana hivyo.. What if wangecheza na databases ingekuaje?? Tungekuwa tunaongea mengine apa..
 
mie sio mtalAam, ila nauliza kama hari sasa hao IT hajarifanyia kazi, so wataalam wote walio hapajf nini mnaweza kufanya kuirudisha kama ilivyokuwa???

Webmaster wao anatakiwa afanye backups kama alikuwa ana copy ya backup. Kama hana ndiyo imekula kwake.

Mpaka sahivi naona bado haijarudi hewani kamili na inaonekana ipo suspended

moe.png
 
Hello wataalamu. Ni nini hasa linakuwa lengo na faida anayopata hacker. Hasa mf hao ni morrocan hacker na Web ni ya Tanzania. Ahsante.

Hao wameandika tu kuwa ni wa Morroco lakini ukute ni waTanzania tu. Watu wa morroco na tz wapi na wapi, hao ni wabongo tu
 
Hello wataalamu. Ni nini hasa linakuwa lengo na faida anayopata hacker. Hasa mf hao ni morrocan hacker na Web ni ya Tanzania. Ahsante.

Hapo sawa na umemuuliza dereva wa sport car kuna faida gani kufanya drifting?
 
Kuna wataalamu kibao wapo mtaani hawana ajira za kueleweka ila ujuzi na ufundi wao ni wa hali ya juu.. Ni wakati muafaka sasa wa kuwachukua hawa na kuwapa mafunzo maalumu na kuwaleta katika mfumo rasmi.. It Will really help.. Tupo katika kizazi cha dot com guys watch out!

mkuu mm ningekuwa nau taalam kama wenu huo ningetafutwa na kupewa kazi .sio nishinde mtaani nazunguka na mabahasha na barua nikiomba kazi.

mnajua kabisa kuwa wanapeana kazi kwa kubebana na wanaopewa kazi hawana ujuzi basi hapo waliopewa kazi na ilihali hawana ujuzi ni mwendo wa kuwasumbua mpaka wao wenyewe wanabwaga manyanga.

inakuwa kila siku mnawachezea wakati wanahangaika kitatua hili anapomaliza tuu na kufanikiwa mnamshushia kikwazo kingine mbona wao wenyewe wata ikimbia ofisi aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom